Keki yenye kg 5000
Hii ndio keki inayosemekana kuwa kubwa kuliko zote kuwahi kutengenezwa Kenya, iliyoandaliwa (bake) kwa siku saba na yenye uzito wa kilo 5000, uzito unaofananishwa na wa magari matano ya Toyota Probox kwa pamoja. Probox zina uzito wa (Curb Vehicle weight) kg 1000 kila moja.
Keki hiyo ilitengenezwa na duka la kutengeneza keki Nairobi, Kenya ‘Cake City’ wakati wa kusheherekea mwaka maadhimisho ya mwaka mmoja ya duka hilo.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watu waliohudhuria wakipiga picha wakati keki ikikatwa
SOURCE: AFRICAN NEWS POST