SOMA HAPA TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA...
Mh.Zitto Kabwe akiongea na vyombo vya habari leo 1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia...
View ArticleSOMA HAPA TAARIFA YA DK. KITILA MKUMBO KWA UMMA KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA...
Aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendelea(CHADEMA), Dkt. Kitila Mkumbo akiongea na vyombo vya habari leo1. Katika kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika tarehe 20-22...
View ArticleWANAUME WANAONYANYASWA NA WAKE ZAO WAONGEZEKA
Idadi ya wanaume wanaojitokeza kwenye vyombo vya sheria kushitaki namna wanavyonyanyaswa na wake zao imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Kaibu Kamishna wa...
View ArticleMTANZANIA MWINGINE AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA HUKO NAIROBI
Huyu ni mtanzania aliyevamiwa huko Nairobi na kuumizwa vibaya hapo jana na amejitamburisha kwa police waliomuokota kama Dr.Juma Maliki .Tunapenda kuwaomba yeyote anayemfahamu awasiliane na na ndugu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU NOVEMBER 25, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA NA MSIMAMO YA LIGI YA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSOMA HAPA ALICHOJIBIWA MH.JANUARY MAKAMBA KUTOKA KWA LADY JAYDEE BAADA YA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHIZI NDIZO TIMU ZILIZOFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA NCHNI BRAZIL 2014
ENDELEA KUTIZAMA TIMU ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKUPIGA PICHA SIO KAZI YA KITOTO TAZAMA PICHA NEE ZA MPIGA PICHA
Alianza hivi AkajikunjaENDELEA KUTIZMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Akajikunja zaidi ili kupta picha nzuriHapa kamaliza kupiga pichaPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa...
View ArticleWAZAZI WAMSINDIKIZA ZITTO ‘KUJIELEZA’
Wazazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Mzee Kabwe Zuberi na Shida Salum. Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, jana alisindikizwa na wazazi wake pamoja na...
View ArticleUPDATES: MSANII SNURA AFIWA NA KAKA YAKE WA TUMBO MOJA APATWA NA AJALI YA...
PAMOJA BLOG inatoa pole zake za dhati kwa msanii SNURA kwa kufiwa na kaka yake wakuzaliwa nae anaejulikana kwa jina la Yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake mzee Mushi. Msiba huo...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUTOKA TCRA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA: MIAKA KUMI YA MAPINDUZI YA MAWASILIANO...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE NOVEMBER 26, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAZISHI YA YUSUFU MUSHI AMBAYE NI KAKA YAKE NA MASANII SNURA YAFANYIKA...
Ndugu na Jamaa wakiomba Dua nyumbani kwa marehemu jana nyumbani kwake MlandiziMsanii Snura aliyelala (wa tatu kutoka kulia) akiwa na simamzi baada ya kumpotez kaka yake kipenzi. ENDELEA KUTIZAMA TUKIO...
View ArticleCHECK OUT: MAHAFARI YA JUSTINE KAJERERO YA KUCHUKUA DEGREE YA KWANZA KATIKA...
Mwemezi Kaijage (Kushoto) na Justine Kajerero wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye mahafari ya 4 ya chuo kikuu cha Dodoma na kutunukiwa Shahada ya kwanza.Hii ni ajabu sana maana wamesoma toka dalasa...
View ArticleWADAU WA UDOM WALIPOTUNUKIWA NONDOZ ZAO MWISHO MWA WIKI KATIKA CHUO KIKUU CHA...
Wahitimu wa Shahada mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao Mwisho mwa wiki katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma...
View ArticleSHARO MILIONEA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU KIFO CHAKE
Marehemu Sharo Milionea enzi za uhai wake Msanii aliyekuwa anakuja kwa kasi ya ajabu sana katika game la bongo fleva Husein Mkieti maarufu kama SHARO MILIONEA leo tarehe 26 -11- 2013 ametimiza mwaka...
View ArticleHUU NI MTAZAMO TU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA.
Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake.Tembo hata akitaka kunywa...
View ArticleZITTO AJIWEKA NJIA PANDA
“Hata katika ya nchi ukihusika kutengeneza mbinu za siri lazima ushughulikiwe.Hakuna Katiba itakayokuruhusu kufanya mipango ya siri. Kwanza uchaguzi wa Chadema nani katangaza mpaka mipango ianzwe...
View Article