Hii ndio Helkopta iliyokuwa imebeba viongozi wa CHADEMAwalipofika kwenye uwanja wa Mwembetogwamkoani Iringa.
Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa
Dr Slaa akihutubia katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mbunge wa Kawe, Halima Mdea akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini.
Katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Dr Slaa akimpokea kada wa CCM ambae amehamia CHADEMA.
Dr Slaa akimpokea kada wa TLP Bw Samson Mrisho ambae amejiunga na CHADEMA uwanja wa Mwembetogwamkoani Iringa(picha na Francis Godwin Blog)