Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MPIGA TUMBA WA TWANGA PEPETA SOUND, SOUD MOHAMED AMEFARIKI DUNIA

$
0
0

Aliyekuwa mpiga tumba wa Bendi ya Twanga Pepeta Soud Mohamed alimaarufu kama MCD amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amesema mazishi ya MCD yatafanyika kesho Moshi mjini ili wafanyakazi pamoja na marafiki wa marehemu waweze kushiriki mazishi hayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>