Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

CHECK OUT: MAHAFARI YA JUSTINE KAJERERO YA KUCHUKUA DEGREE YA KWANZA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

$
0
0
  Mwemezi Kaijage (Kushoto) na Justine Kajerero wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye mahafari ya 4 ya chuo kikuu cha Dodoma na kutunukiwa Shahada ya kwanza.Hii ni ajabu sana maana wamesoma toka dalasa la kwanza mpaka chuo kikuu.
Justine Kajerero akiwa katika pozi na rafiki yake Eliza kwenye mahafari ya Chuo kikuu cha Dodoma


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI



Justine Kajerero akiwa kwenye pozi la picha ya pamoja na Eunice na Jane marafiki zake alokuwa anasoma nao degree ya kwanza ya Mausiano ya Kimataifa (BA-International Relation) katika chuo kikuu cha Dodoma
 
Justine Kajerero (kulia) akiwa katika pozi na rafiki yake Eliza kwenye mahafari ya Chuo kikuu cha Dodoma
Colline Kajerero ambaye ni mdogo wake na Justine Kajerero akimkabidhi zawadi kaka yake baada ya kuhitimu Degree ya kwanza katika chuo kikuu cha Dodoma
Justine Kajerero akimlisha keki rafiki yake Eunice kwenye sherehe baada ya kuhitimu Degree ya Kwanza katika Chuo Kikuu cha Dodoma
Kaka God akifungua Shampein kuonesha upendo na furaha kwa mhitimu




Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles