Marehemu Sharo Milionea enzi za uhai wake
Msanii aliyekuwa anakuja kwa kasi ya ajabu sana katika game la bongo fleva Husein Mkieti maarufu kama SHARO MILIONEA leo tarehe 26 -11- 2013 ametimiza mwaka mmoja tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali ya gari mkoani Tanga katika wilaya ya Muheza kwenye kijiji cha Lusanga kwa ajali ya gari. Niliongea na msanii Kitale ambaye yuko Tanga tangu Jumamosi iliyopita kwa ajili ya shughuri za kisomo cha kumbukumbu ya marehemu Sharo Milionea Kitale amesema, kumbukumbu itaanza na mkesha wa kuhamkia tarehe 26 ambapo kutakuwa na kisomo mpaka tarehe 26 yenyewe ndio wataitimisha huko huko Tanga katika kijiji cha Lusanga alipozikwa marehemu Sharo Milionea, cha msingi ni dua nyingi ndio zinazoitajika hili ndugu yetu apumzike kwa aman mahala pema peponi amina.