Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: MSANII SNURA AFIWA NA KAKA YAKE WA TUMBO MOJA APATWA NA AJALI YA RADI MLANDIZI

$
0
0
PAMOJA BLOG inatoa pole zake za dhati kwa msanii SNURA kwa kufiwa na kaka yake wakuzaliwa nae anaejulikana kwa jina la Yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake mzee Mushi. Msiba huo umetokea Mlandizi baada ya kupigwa na radi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake Mlandizi. SNURA akiongea na blog hii  amesema wanazika leo huko huko Mlandizi mida ya saa kumi jioni. mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU MUSHI mahala pema peponi. AMIN.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>