UPDATES: AJALI MBAYA IMETOKEA MDA HUU KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada.Ajali mbaya imetokea muda si mrefu eneo kati ya Wami na Segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo...
View ArticleUPDATES: AJALI MBAYA IMETOKEA MDA HUU KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada.Ajali mbaya imetokea muda si mrefu eneo kati ya Wami na Segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo...
View ArticleABIRIA WA TREIN INAYOTOKA KIGOMA KWENDA DAR ES SALAAM WAKWAMA MKOANI DODOMA,...
Abiria wa treni iliyokwama Dodoma wakiwa na watoto wao wakipata chochote wakati wakisubili hatima yao huku katika stesheni hiyo kukiwa hakutamaniki kwa uchafu unaotishia afya zao kutokana na abiria...
View ArticleWANANCHI WENYE HASIRA KALI SINGIDA WACHOMA BASI
Leo asubuhi basi la abiria la kampuni ya Mtei Express likitoka Sindida kwenda Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga...
View ArticleUNATUMIA INTERNET KUPITILIZA? WATAALAM WAELEZA MADHARA YAKE KIAKILI
Wafanyakazi wanaojituma kwa kuendelea kufanya kazi kwenye computer zao hata baada ya masaa ya kazi ili kumalizia shughuli zao wanaweza kuwa na mafanikio zaidi lakini wana hatari ya kujikuta wamekuwa na...
View ArticleJUA NAMNA YA KUTAMBUA ASALI HALISI NA FEKI
TUNAFAHAMU kwamba asali ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binaadamu, lakini watu wengi wamekuwa wakipigwa kwa kuuziwa asali feki, sasa leo nimeona niwape darasa wanunuzi wa asali ili wasiweze...
View ArticleWAFANYABIASHARA WAFUNGA MADUKA DAR WAGOMEA MASHINE ZA KODI ZA TRA TENA
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATU WAWILI WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA WAKITUHUMIWA KUIBA BODABODA ,...
Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya. ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawaHapa ni eneo...
View ArticleZITTO: SITAKI MALUMBANO, ASEMA NI MUDA WA KUTUMIKIA WAPIGA KURA, KUIBANA...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa hataki malumbano na mtu. Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 10, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMOTO WAMWAKIA PROFESA TIBAIJUKA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. PICHA|MAKTABA Dar es Salaam/Mbeya. Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO SABA(7) MUHIMU AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA MARA BAADA YA KULA...
Kama tulivyoambizana kuwa blog hii itakuja na mambo yanayojulikana lakinihayafanyiwi kazi kwa kuwa watu wamezoea tu kuishi basi leo natoa somo hiliili kukukumbusha usifanye haya wakati umemaliza kula...
View ArticleDK. SLAA AMKANA KADA ALIYETEKWA
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amekana na kusisitiza kuwa hajawahi kuwasiliana na Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Temeke, Joseph Patrick ili...
View ArticleMKASA WA NYOKA 2000 KUSAFIRISHWA KWENYE NDEGE YA ABIRIA
Mambo ya nyoka ©australianbusinesstimes Na. Profesa, Mchungaji Ole Nasioki Edward.Ndege moja ya abilia ilikua imepakia abilia wapatao 240 na mizigo, lakini katika baadhi ya mizigo ndege iliyokua...
View ArticleIGP ATANGAZA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI
Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu.PICHA|MAKTABA Dar es Salaam. Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu ameanza kazi kwa kutangaza mabadiliko ya mfumo...
View ArticleCHAGUA MOJA MH. ......!!!!
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSIKILIZA NA UDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA LADY JAYDEE - "HISTORIA" HAPA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA YA LEO: KWA HILI TUWEKE SIASA PEMBENI
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya Msingi Mwembesongo, Manispaa ya Morogoro, wakindika masomo yao wakiwa wameketi sakafuni juzi. (Picha na John Nditi)Pata habari motomoto kupitia...
View ArticleTRL YASITISHA KWA MUDA HUDUMA YA SAFARI YA TRENI YA ABIRIA KUANZIA LEO IJUMAA...
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawatangazia abiria wote na wananchi kwa jumla kuwa kutokana na kujaa maji eneo kati ya stesheni za Godegode na Gulwe mkoani Dodoma na kuharibu tuta la...
View ArticleHATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 2
UMBALI katika uhusiano, mara nyingi husababisha hofu. Fikra za usaliti hutawala sana kwa wenzi wanaoishi mbali. Lakini vipi, mwenzako asisafiri au asiishi mbali kwa kuhofia hayo wakati kitendo hicho...
View Article