Video nzima wamehusika watu watatu tu muimbaji na wacheza story wawili kutoka kushoto ni Kalisa anaefata ni yule mrembo wa kwenye video ya nainai ya ommy dimpozi Ney, Y tony mzee wa masebe na Pabro ndio amefanya video hii ya wimbo wa y tony uaojulikana kama pendo hivi karibuni video itatoka kaa tayari kuona kideo iko kilichojaa mahaba ya dhati na chenye quality na mandhali yakutosha sana. apex video imehusika na inatoka katikati ya mwezi wa kwanza.
kaaa tayari video inakuja wimbo tayari uko hulkshare ingia andika 'pendo - y tony, download au sikiliza.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
kaaa tayari video inakuja wimbo tayari uko hulkshare ingia andika 'pendo - y tony, download au sikiliza.