Tran Van Hay ni mzee ambaye ameweka record kwenye kitabu cha Guinness kwa kuwa na nywele ndefu kuliko wote duniani. Alianza kufuga nywele takribani miaka 50 iliyopita. Kufuga nywele hizo alianza akiwa na umri wa miaka 25. Alifariki February 25, 2010 mpaka anafariki alikuwa na miaka 79.
Tran Van Hay alikuwa anaishi Kien Giang kusini wa nchi ya Vietnam ambapo alikuwa anaishi na mke wake Nguyen Thi Hoa. Kwa maelezo ya mke wake anansema nywele za Tran Van Hay zilikuwa na urefu wa mita 6.8 na uzito wa kiligramu 10.5 alipopimwa mwaka 2006.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI