PICHA YA LEO: HII NDIO TANZANIA TUITAKAYO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya...
View ArticleTUMSILAUMU JACKIE CLIFF, TUMLAUMU ALIYEMFUNDISHA KUVUA SAMAKI, FAHAMU...
Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliyeenda hewani na Mungu kampelea haswaa. Ukikutana naye huwezi kumwangalia mara moja...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO KUZUNGUMZIA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe.William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Mazishi ya aliyekuwa waziri wa Fedha Marehemu Dk. William Mgimwa akiongea na...
View ArticleNENO LA LEO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAREHEMU DR MGIMWA ALIKUWA NI KIONGOZI ASIYEPENDA KUJILIMBIKIZIA MALI HAPA...
Hapa ndipo nyumbani alipozaliwa na alipokuwa akiishi aliyekuwa waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapaHii ndio nyumba ya waziri wa fedha Dr...
View ArticleZITTO AIBUKA KIDEDEA DHIDI YA CHADEMA MAHAKAMA KUU LEO
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe (kulia) akitoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam leo, ambapo aliwasilisha ombi la pingamizi la...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 03, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATU 6 WAJERUIWA NA KITU KINACHOSEMEKANA NI BOMU, ASKOFU LOBULU ALAANI...
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas akizungumza na waandishi wa habari, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na...
View ArticleKATIBA YA TANGANYIKA INAWEZEKANA KWA MIEZI MITATU
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao Dar es Salaam. Mwenyekiti...
View ArticleKAZI IPO KWENYE BARAZA LA MWAZIRI LIJALO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWACHINA TENA WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 81 BANDARINI DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA UMMAMamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na vyombo vingine vya Dola, tarehe 2 Januari 2014 majira ya saa tatu asubuhi kwenye Bandari ya Dar...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA MTOTO WA MIAKA 14 MWENYE UWEZO WA KUNYANYUA VITU VYENYE UZITO...
Jake Schellenschlager wa Maryland, Marekani, mwenye miaka 14 alianza kufanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito akiwa na miaka 12.Mpaka sasa anauwezo wa kunyanyua vitu vyenye uzito mara mbili ya uzito...
View ArticleDAR WATAHARUKI WAKIHOFIA BOMU
Bomu la kurushwa kwa mkono lililokuwa katika njia ya watembea kwa miguu katika makutano ya barabara ya Shekilango na Morogoro jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel HermanDar es Salaam. Wakazi na...
View ArticleBOMU LAKUTWA KANDOKANDO YA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM
Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam jana. Polisi waliimarisha ulinzi katika eneo hilo.ENDELEA KUSOMA HABARI...
View ArticleCHADEMA WAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu...
View ArticleUNENE WA KUPINDUKIA NI TATIZO KATIKA NCHI ZINAZOSTAWI
Kunenepa kupindukia ni tatizo ambalo sasa linatishia zaidi maisha ya wengi katika mataifa yanayostawi duniani kuliko katika mataifa tajiri ambako mambo yana afadhali.Sasa serikali nyingi zinaombwa...
View ArticleUNAKUMBUKA NINI UNAPOIONA PESA HII
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWANAMKE ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE MKOANI MBEYE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI,...
Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea...
View ArticleWALIOJENGA VIBANDA BILA KUFUATA TARATIBU KWENYE STENDI MPYA YA DALADALA...
Mmoja wa wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa amri ya kuondoa kimoja ya vibanda vilivyojengwa kiholela katika stendi ya daladala Jamatini wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa...
View Article