$ 0 0 Bei ya umeme ilipanda tarehe mosi mwezi huu baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji(Ewura) kulikubalia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupandisha bei ya nishati hiyo kwa zaidiya asilimia 40.