Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA ZITTO KABWE KIGOMA MJINI JANA

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi wa Kigoma Mjini .ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Mapokezi ya mbunge Zitto Kabwe. Zitto akiwashukuru wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUMBUZI WA BUNDUKI AINA YA AK-47 MIKHAIL KALASHNIKOV AFARIKI DUNIA

Mikhail Kalashnikov, mrusi ambaye alivumbua bunduki ya AK-47 ambayo imekuwa chaguo la majeshi ya mataifa mengi duniani, amefariki dunia uana (Dec 23) akiwa na miaka 94.Silaha ya AK-47 ilibuniwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WATUMIKA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE , WAFANYISHWA KAZI...

Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini MbeyaWatoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa Sokoine ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA CBE MKOA WA DODOMA AONGOZA WANAFUNZI WA CBE KATIKA KUTOA MKONO WA...

 Hii ni nembo ya kituo hiki iyonacho sadifu mazingira harisi ya watoto wanolelewa mahari hapa.Remidius M. Emmanuel (Rais wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma) akikabidhi zawadi hizi kwa mlezi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: ALIYEKUWA KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA, JAMES KISAKA AFARIKI DUNIA LEO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57) kilichotokea leo asubuhi (Desemba 25 mwaka huu) katika Hospitali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA CHRITMAS MKOANI DODOMA KUFANYIKA LEO UWANJA WA JAMHURI

 Mratibu wa Tamasha hilo John Banda akizungumza na Waandishi wa habari juu ya kukamilika kwa maandalizi ya tamasha hilo, Kushoto ni Mmoja wa waimbaji kwenye tamasha hilo Beatrice Wiliam (BSS 2011)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WA TIMU MBALIMBALI ZINAZOCHEZA LIGI YA UINGEREZA WATEMBELEA...

 Wachezaji  wa Liverpool pamoja na Kocha wao Brendan Rodgers wakiwa wamewatembelea  wagonjwa kwenye hospitali ya Alder Hey Wachezaji wa Manchester United, Michael Carrick, Antonio Valencia, David De...

View Article

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM DMV KUJIUZULU KWA KATIBU MKUU, JACOB...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA CBE-DODOMA AFARIKI DUNIA.

MAREHEMU  SAMWEL P. KITULAIkiwa ni siku moja  imepita Tangu Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dodoma  kiondokewe na aliye wahi kuwa Mwanafunzi wa Chuo hicho katika Level ya Diploma 2012/2013 Marehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS DECEMBER 26, 2013

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA 2013 ASHEREHEKEA SIKUKUU YA X - MASS PAMOJA NA WATOTO YATIMA...

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa Akikabidhi zawadi waliotoa katika kituo hicho kwa Mama Mkuu wa Wa shirika la Masista wa Moyo safi wa Maria, Sista Flora Chuma.Miss Tanzania 2013 Happiness...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUNA SABABU YA KUUWEKA MOYO WAKO REHANI!

MAPENZI ni sanaa yenye wigo mpana sana. Unahitajika uwe mbunifu sana ili uweze kuendelea kuwa bora kwa mpenzi wako kila siku. Lazima uwe mtafutaji wa kitu kipya ili uweze kuwa wa tofauti kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO MECHI ZITAKAZOCHEZWA KWENYE LIGI YA UINGEREZA LEO DECEMBER 26, 2013

ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: RAHA YA PILAU NI KULA WENGI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI LILILOKUWA LIMEBEBA MAITI LAKAMATWA LIKIWA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI...

Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro,Faustine Shilogile akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Hizi ndio baadhi ya Pipi zilitolewa tumboni mwa Marehemu Khalid Kitala.  ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHAA!! HAYA YOTE MAJUKUMU YANGU

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPENZI YA DIAMOND NA WEMA SEPETU SIO SIRI TENA, WAPO KARIBU ZAIDI YA KAWAIDA

 Diamond na Wema wakicheza na kuimba pamojaDiamond Platnumz na Wema Sepetu wameendelea kuliimarisha penzi lao kadri siku zinavyoenda. Uhakika wa kuwa wapenzi hawa wenye uhusiano wa ‘on and off’...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO: KAMA IMEKUGUSHA UTANISAMEHE TU MAANA HUU NI MTAZAMO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWASILI LEO NA SIRI NZITO

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete anatua nchini leo akiwa na lake moyoni kuhusu hatima ya baraza lake la mawaziri, baada ya kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne, wiki mbili zilizopita.Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA CHRISMAS MKOANI DODOMA

Beatrice William (BSS 2011) Jembe la Yesu akilima ktk jukwa la tamasha lililowakutanisha waimbaji kibao katika tamasha la krismas mkoani Dodoma.Jesca Nyange na kundi lake akiwaimbia wananchi wa mkoa wa...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>