Wachezaji wa Liverpool pamoja na Kocha wao Brendan Rodgers wakiwa wamewatembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Alder Hey
Wachezaji wa Manchester United, Michael Carrick, Antonio Valencia, David De Gea na Ashley Young wakiwa kwenye hospitali ya Royal Manchester Children'swalipofika kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo.
Wachezaji wa Sunderland, Ki Sung-Yueng, Jozy Altidore, Andrea Dossena na John O'Shea wakiwa kwenye picha ya pamoja na mtoto aliyelazwa kwenye hospitali ya Sunderland Royal
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Christ Brunt ni mmojawapo wa wachezaji wa West Brom waliotembelea wagonjwa kwenye hospitali za Russells Hall na Sandwell General ili kuwajulia hali wagonjwa kwenye kipindi hiki cha Christmas
Mchezaji wa West Ham, Mark Nobleakiwa kwenye hospitali ya King George alipowatembelea watoto wenye magonjwa ya Kansa
Wachezaji wa Everton, Leighton Baines na Seamus Colemanwakimpa suprise mtoto aliyelazwa kwenye hospitali ya Whistonna hii yote ni kuonesha furaha kwa wale wote waliokosa furaha siku ya leo ya Christmas
Kapten wa timu ya Manchester City, Vincent Kompany na yeye akuwa nyuma maana aliamua kutembelea hospitali ya Watoto ya Mancheste
Mchezaji wa Aston Villa, Ron Vlaar atembelea hospitali ya watoto ya Birmingham
Wachezaji wa Spurs,Younes Kaboul, Emmanuel Adebayor na Hugo Lloris wametembelea kwenye hospitali nne ili kuonesha upendo kwa wagonjwa
Mchezaji wa Swansea City, Michu akiwa amembeba mtoto katika hospitali ya Morriston
Nao wachezaji wa Chelsea hawakuwa nyuma
Mchezaji wa Norwich, Ricky van Wolfswinkel akiwa katika picha ya pamoja na mtoto aliyelazwa kwenye hospitali ya James Paget