Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya
Watoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa Sokoine
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Uwanja wa Sokoine unavyoonekana kwa sasa
Baadhi ya watu wakishirikiana na watoto kupanda nyasi katika uwanja wa Sokoine ambao wanadai kufanya kazi hiyo bila malipo. (Mbeya Yetu)