Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA CHRISMAS MKOANI DODOMA

$
0
0

Beatrice William (BSS 2011) Jembe la Yesu akilima ktk jukwa la tamasha lililowakutanisha waimbaji kibao katika tamasha la krismas mkoani Dodoma.
Jesca Nyange na kundi lake akiwaimbia wananchi wa mkoa wa Dodoma katika tamasha la krismas lililofanyika katika uwanja wa jamhuri.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Tumsifu Lufutu (NABII MUSSA)  toka nchini kenya akiwaongoza mashabiki wa wa nyimbo za injili kuelekea kaanani ndani ya viwanja vya jamhuri
Lusekelo Mwandiga wa Dodoma akicheza wakati wa tamasha la Krismas jamhuri
Mary Sinkala Chotala wa Kisomali akionyesha uwezowake kwenye tamashala krismas Dodoma

Mgeni Rasmi Kwenye tamasha la krismas lililofanyika Dodoma Anton Mavunde akisalimiana na Mchungaji Komba (punda wa yesu) alipokuwa akiingia katika uwanja wa jamhuri kuhudhuria tamasha hilo.
Mdhamini wa tamasha la christmas Stivin Masangia akifafanua jambo wakati alipokuwa akizangumza na mashabiki waliohudhuria katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Ngusa John mwanafunzi wa  UDOM alishiriki kuonyesha kipaji chake katika tamasha hilo.
Jubilee Lugobo toka jijini Dar es laam akitawala jukwaa ndani ya viwanja vya jamhuri Dodoma katika tamasha hilo

PICHA NA JOHN BANDA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>