Baaadhi ya Madreva bodaboda mkoani kigoma wakiongoza msafara wa mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupu baada ya kuwasili
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma leo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma leo
Mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe(wa tatu kulia)akilakiwa na baadhi ya viongozi wa chadema mkoani Kigoma muda mfupu baada ya kuwasili na kupokewa na maandamano makubwa
Mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema akisalimiana na mamiaaaaa ya wanakigoma muda mfupi baada ya kuwasili na kupokelewa na maandamano makubwa mjini kigoma leo
Mbunge wa kigoma kaskazini -chadema Zitto Kabwe Akihutubia maelefu ya wananchama na wapenzi wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoni kigoma leo na kupokelewa kwa maandamano makubwa.