Rais wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dodoma Bw. Remidius Emmanuel (wa kwanza kutoka kulia) akifuatilia mwenendo wa kikao hicho,Pembeni ni Bw. Antony Mapande Rais wa chuo kikuu cha Hubert Kairuki Memorial.
Katibu mkuu wa TAHLISO Donati Salla akiwasilisha taarifa ya utendaji ya mwaka mzima katika kikao hicho cha 'Senate' kilicho jumuisha Marais wa vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya juu nchini Tanzania.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Rais wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Bi. Eshe Mzee (aliyesimama) akichangia taarifa iliyosomwa na Katibu mkuu wa TAHLISO
Muonekano wa meza kuu,iliyojumuisha viongozi wa TAHLISO
Mwenyekiti wa TAHLISO Bw. Amon Chakushemeire akizungumza na wajumbe wa mkutano wa SENATE
Makamu wa Rais Chuo kikuu cha UDOM Bw. Mahamudu Rashidi Hussein (wa kwanza kutoka kulia) akifuatilia kwa umakini mwenendo wa kikao hicho.
Baadhi ya Ma-Rais wa vyuo mbalimbali