HIVI TANESCO MPAKA KUTOKEE JANGA HAPA NDO MTAKUJA KUONDOA HUU MTI KWENYE NGUZO?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA MISA YA WAFU YA HAYATI MANDELA NCHINI AFRIKA KUSINI
Misa ya kitaifa ya wafu kumuaga Hayati Nelson Mandela, inaendelea mjini Johannesburg Afrika Kusini. Rais wa Marekani Barack Obama na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon watakuwa miongoni mwa...
View ArticleMWIMBAJI WA INJILI MSOMALI NDANI YA TAMASHA LA XMAS DODOMA
Mwimbaji wa nyimbo za injili Toka nchini SomaliaMARY SINKALA atakaeshiriki katika tamasha la kristmas litakalofanyika Dodoma Des 25 ndani ya uwanja wa jamhuriNa John Banda, DodomaWaimbaji wa nyimbo za...
View ArticleINASIKITISHA MASHABIKI VASCO DA GAMA, ATLETICO PARANAENSE WATWANGANA
Shabiki aliyejeruhiwa vibaya akiwa amelala kwenye machela kusubiri msaada. Shabiki wa Atletico Paranaense akikanyagwa na kupigwa mateke na mashabiki wa Vasco da Gama.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA...
View ArticleVIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI WAHUDHURIA IBADA MAALUM YA KUMUOMBEA MZEE MANDELA...
Rais wa Marekani,Barack Obama akihutubia maelfu wa waombolezaji wa Msiba wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela waliopo kwenye Uwanja wa FNB Soccer City,Jijini Johannesburg.Rais...
View ArticleTAARIFA ZILIZOENEA KWANYE MITANDAO YA KIJAMII ZINAZODAI KUWA MZEE SMALL...
Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni. Tumeweza kuongea na mtoto wake usiku huu aitwae Mahamoud na kuthibitisha...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO DECEMBER 11, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE ZIARA YA DR. SLAA KIJIJI CHA JANDA, KIGOMA
Dr Slaa akihutubia wananchi wa kijiji hicho, ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kwa leoZiara inaendelea, hapa ni Kijiji cha Janda, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma. Jana ilikuwa ni siku...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA DECEMBER...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHIZI NDIZO MOVIE ALIZOWAHI KUIGIZA PAUL WOLKER
'Pleasantville' (1998)'Varsity Blues' (1999)'She's All That' (1999)ENDELEA KUTIZAMA MOVIE NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI'The Skulls' (2000)'The Fast and the Furious' (2001)'Joy Ride' (2001)'Into the...
View ArticleJELA ILIVYOKUWA ‘CHUO KIKUU’ CHA MANDELA
Nelson Mandela (kulia) akiwa na Rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton alipotembelea kilichokuwa chumba chake katika jela ya Kisiwa cha Robben, Picha ya Mtandao. Juni 12, 1964, Nelson Mandela...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleOBAMA AKOSOLEWA KWA KUPIGA PICHA YA ‘SELFIE’ NA DAVID CAMERON NA WAZIRI MKUU...
Mapozi za Rais Barack Obama wa Marekani kwenye tukio la kumbukumbu ya Nelson Mandela jana jijini Johannesburg yametiliwa mashaka. Obama, waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron na waziri mkuu wa...
View ArticleUZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , WAFANYIKA...
Bwana Ali Masoud au Maarufu kwa Jina la' Masoud Kipanya' na ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA HAYATI NELSON MANDELA ULIVYOAGWA NCHINI AFRIKA YA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania akitoa heshima zake kwenye mwili wa aliyekuwa rais wa zamani hayati Nelson MandelaENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto...
View ArticleTAARIFA KAMILI YA MWANASHERIA WA ZITTO KABWE KUHUSU MAAMUZI YA ZITTO BAADA YA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi.Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana tarehe...
View ArticleWEZI WAMEVUNJA NA KUINGIA NYUMBANI KWA ASKOFU MSTAAFU DESMOND TUTU
Polisi wamesema wizi huo ulifanyika wakati bwana Tutu akiwa katika ibada ya Nelson Mandela Mjini Johannesberg.Inaarifiwa Tutu aliibiwa vitu vyake wakati akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuaga Hayati...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS DECEMBER 12, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: BASI LA BURUDANI LILILOKUWA LINATOKA WILAYANI KOROGWE LIKIELEKEA DAR...
Habari zilizotufikia hivi punde, basi la Burudani likiwa limejaza watu wengi kutoka wilayani Korogwe kuelekea Dar es Salaam, limepata ajali maeneo ya Michungwani, wilayani Handeni mkoani Tanga. Idadi...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article