Dr Slaa akihutubia wananchi wa kijiji hicho, ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kwa leo
Ziara inaendelea, hapa ni Kijiji cha Janda, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma. Jana ilikuwa ni siku ya 5, mikutano 10 hadi sasa, majimbo 5 kati ya 8 ya mkoa wa Kigoma. Mkutano wa pili unaendelea eneo la Mnanila, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhingwe.
Dkt. Slaa anajumuika kucheza ngoma ya wenyeji waliomkaribisha kwa bashasha