WALIMU WAFUNGWA KWA KUIBA MILIONI 21/- ZA SHULE
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imewahukumu walimu watatu na mfanyabiashara mmoja kifungo cha miaka 579 jela kwa kupatikana na hatia ya kuiba fedha za shule Sh milioni 21. Walimu hao ni wa...
View ArticleDK. SLAA AKUMBWA NA VURUGU KIGOMA
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa, imekumbwa na vurugu wilayani Kibondo baada ya vijana kuingilia mkutano wake wa hadhara wakiwa na mabango.Vurugu hizo zilisababisha vijana 12 kutiwa...
View ArticleMDAHALO WA KUPINGA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA DODOMA
Mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali (DIAC), Jenipher Chiute akitoa mada kuhusu vitendo vya ukatili na athari zake ambavyo wamekuwa wakifanyiwa wanawake na watoto kwenye mdahalo uliofanyika...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI DECEMBER 08, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA DECEMBER...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA SHOO YA DIAMONDI ILIYOFANYIKA VIWANJA VYA CHANG'OMBE WAKATI WA...
Eneo la tukio Romy Jons akiweka sawa mitambo yakeIlikuwa ni shangwe ya nguvuENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIAmsha amsha ikaanza hiviKazi imeanzaKazi ikiendeleaAkizikonga nyoyo...
View ArticleSABABU YA TANZANIA, AFRIKA KUSINI NA ZAMBIA KUTUMIA WIMBO WA TAIFA WENYE...
Huenda ukawa umejiuliza swali hili kwa kipindi kirefu lakini hujawahi kupata jibu. Kwanini Tanzania, Afrika Kusini na Zambia zinatumia wimbo wa taifa wenye melody inayofanana?Melody za wimbo huo ambao...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI DECEMBER...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMANDELA, MANDELA: MAMILIONI WAMLILIA TATA MADIBA
Mwili wa Mandela ukifikishwa kijijini kwake, utakabidhiwa kwa familia yake kwa ajili ya taratibu za mazishi, ambapo bendera ya taifa itaondolewa kwenye jeneza na kufunikwa kwa blanketi la kitamaduni...
View ArticleWANAWAKE WALIOMUUNGA MKONO MORSI WAACHILIWA
Mahakama ya rufaa nchini Misri imeamuru kuachiliwa huru kwa wanawake, 21 wakiwemo wasichana saba waliofungwa jela mwezi jana kwa kuandaa maandamano ya kumuunga mkono aliyekuwa Rais Mohammed...
View ArticleWATANZANIA, WAKENYA WATOSHANA NGUVU UHURU MARATHON
Mshindi wa Kwanza wa Mbio ndefu za KM 42 katika Mashindano ya Uhuru Marathon,Jamin Ikai (kutoka nchini Kenya) akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club wakati akimaliza mbio hizo,zilizofanyika leo...
View Article CHADEMA YADINDA; YARUKA KIHUNZI CHA HUJUMA ZA CCM ‘KUMTUMIA’ ZITTO
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia mzozo kati ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zinaelekea kugonga mwamba.Tanzania Daima Jumapili...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE DECEMBER 10, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MANDELA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria alikowasili usiku wa kuamkia leo tayari kuhudhuria mazishi ya Rais Mstaafu wa...
View ArticleALIYEWAHI KUWA MKUU WA WILAYA YA MBOZI, GABRIEL KIMOLO AHAMIA CHADEMA
Katika hali ya kuonyesha CCM hapako shwari leo mkuu wa Wilaya Gabriel Kimolo amevua gamba na kuvaa Gwanda hii leo ni kwenye Kongamano linaloendelea muda huu katika hotel ya Land mark ambapo wangeni...
View ArticleWAHAMIAJI HARAMU ZAIDI YA 56 WAKAMATWA MKOANI KILIMANJARO
Kundi la wahamiaji haramu zaidi ya 40 wanaodhaniwa kuwa ni wa kutoka Ethiopia na Somalia wakishuka kwenye Lori aina ya fuso katika kituo kikuu cha muda baada ya kukamatwa wilayani Same wakijiandaa...
View ArticleMAAJABU 10 YA MSIBA WA MANDELA
Nelson Mandela.RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, mweusi wa kwanza kushika wadhifa huo katika taifa lenye uwezo mkubwa kiuchumi na kijeshi barani Afrika, alifariki dunia Alhamisi...
View ArticleHUKU NDO KWETU BAADA YA MVUA KUNYESHA HAKUPITIKI
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA YA LEO: ALIYESEMA SIASA NI MCHEZO WA KUIGIZA HAKUKOSEA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMHANDISI ADAIWA KUMUUA AFISA MAUZO WA SIGARA
Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia mhandisi wa ujenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba, Nassoro Robert (56), kwa tuhuma za kumuua afisa mauzo wa kampuni ya Sigara kwa kumpiga risasi ya...
View Article