Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni.
Tumeweza kuongea na mtoto wake usiku huu aitwae Mahamoud na kuthibitisha kuwa baba yake yu hai hajafariki. "baba yu mzima na wala hajafariki kwani nimetoka kumjulia khali mda si mrefu na ni mzima anaendelea vizuri na hizo taarifa ni za uongo"