CRISTIANO RONALDO AWA MCHEZAJI BORA ULAYA
Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa. Cristiano Ronaldo...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA SHOO YA TWANGA PEPETA KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe...
View ArticleZITTO: SINA UHUSIANO NA MWASITI WALA DIVA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kukana kuwa na mahusiano na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness ‘Diva’ pamoja na msanii wa muziki, Mwasiti.Zitto alifunguka hayo juzi kupitia...
View ArticleHAKIKISHA UNAWEZA KUJIBU MASWALI HAYA KABLA YA KWENDA KWENYE USAILI (INTERVIEW)
1.Tuelezee kuhusu wewe kwa ujumla (tell us about yourself)2.Mipango gani umejiwekea kwenye maisha yako? Na umefanya nini kuitimiza?3. Kwanini Tukuajiri wewe na sio mtu mwingine? (waelezee uwezo wako).4...
View ArticleUPDATES:WATU KUMI WAMEFARIKI DUNIA NA MAJERUHI SABA KATIKA AJALI MBAYA...
Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIGari...
View ArticleJWTZ LATOA MSAADA KWA WAZEE NA MAYATIMA ZANZIBAR
WANAJESHI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakishusha msaada wa vyakula na vifaa vya kufanyia usafi vilivyotolewa na jeshi hilo kwa Wazee wanaoishi katika nyumba za Wazee ziliopo Welezo Wilaya...
View ArticleMPYAA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANROADS
BOFYA HAPA KUTIZAMA AJIRA HIZOPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUGUST 30, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA...
Miss Tanzania USA Pageant leo inafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA GULWE MPWAPWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mbunge wa Mpwapwa Mheshimiwa Gregory Teu...
View ArticleUTAFITI: HIVI NDIVYO VYAKULA VYA KUONGEZA KINGA YA MWILI
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya...
View ArticleRASIMU YA WARIOBA SASA MIFUPA MITUPU
Kamati za Bunge Maalumu, zimekamilisha kazi ya kujadili na kuchambua Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku ikiwa imefanyiwa mabadiliko makubwa tofauti na ilivyokuwa...
View ArticleAJALI: WATU WATATU WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI KUINGIA MTARONI ENEO LA...
Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani.Watu watatu akiwemo raia wa China na dereva ambaye ni mtanzania wamenusurika kufa katika ajali...
View ArticleNI LEO FAINALI YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) NDANI YA MLIMANI CITY
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW YAFANYIKA KWA KISHINDO
Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI AUGUST 31, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)...
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha...
View ArticleTAHADHALI: UPEPO MKALI UNAOAMBATANA NA MAWIMBI MAKUBWA VINATARAJIWA KATIKA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKOA WA KAGERA WACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA EBOLA
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe akitoa ufafanuzi namna Serikali livyojipanga kukabiliana na ugonjwa wa Ebola mkoani humo kwa kuongeza vifaa kinga na kuwawezesha kielimu wataalam wa...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AOKOLEWA NA POLISI WA UJERUMANI KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE...
Hii ndio hali halisi ya ukumbi ulioharibiwa na washabiki mjini Stuttgart, nchini UjerumaniPolisi wakimuokoa Diamond na kama si polisi Diamond sijui ingekuwajeENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...
View Article