Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi akifafanua jambo wakati alipokuwa alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa vicoba mkoani Dodoma uliofanyika katika viwanja vya Nyerere.
Mlezi wa Vicoba mkoani Dodoma Anthon Mavunde akipeana mikono na Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa Vicoba uliofanyika juzi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wanachama wa kikundi cha vicoba cha kilimani a' wakishangilia mara baada ya kutangazwa kushika nafasi ya pili baada ya kujiwekea hisa za shilingi 23 mili na kupata zawadi ya laki tano toka makao makuu ya vicoba nchini.
Mmoja wa wanavicoba akikabidhiwa friji ya kampuni ya cocacola baada ya kufuzu vigezo vya biashara ya vinywaji na Naibu waziri huyo.
Rais wa Vicoba Nchini Devota Likokola akiiwa na baazi ya viongozi waliokuwa meza kuu wakati wa uzinduzi huo.