Yamoto Band wakiwa kwenye picha ya pamoja katika redcapert
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Temba akiwa na Yamoto bendi katika redcapert ndani ya club Maisha ya jijini Dar.
Mkubwa na wanawe pamoja na Babu Tale wakiw kwenye picha ya pamoja kwenye shoo ya Yamoto Bandi iliyofanyika kwenye Club Maisha ya jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Aunt Ezekiel akiwa kwenye redcarpet alipokuja kushuhudua shoo ya Yamoto Band
Full kujiachia ndani ya redcapert
Ley Mond wa TIP TOP akitoa burudani kwa mashabiki wake waliofika kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar.
Dogo Janja akitoa burudani ya nguvu ndania ya Maisha Club ya jijini Dar alipowasindikiza Yamoto Bandi walipokuwa wanaitambulisha nyimbo yao mpya.
Mc wa shoo D120 akiwaambia mashabiki wakae tayari kungalia Video ya nyimbo mpya ya band ya Yamoto uitwao "Niseme"
Mashabiki wakiendelea kufuatilia kinachoendelea ndani ya Maisha Club kweye shoo ya Yamoto Band
Said Fella (katikati) akiwa na vijana wake wa Mkubwa na wanawe alipokwa anatoa shukrani kwa wapenzi wa Yamoto Band waliofika kwenye uzinduzi wa nyimbo yao mpya iitwayo "NIseme"
Yamoto Band wakiwaburudisha mashabiki wao kwenye Club ya Maisha ya Jijini Dar walipokuwa wanazindua Audio na Video ya nyimbo yao mpya iitwayo "Niseme"
Mashabiki wakichukua kumbukumbu
Producer wa Yamoto Band Shiriko mkubwa na wanae akiwapa burudani mashabiki waliofika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Dogo Aslay akimwimbia dada moja nyimbo zao kwenye uzinduzi wa nyimbo yao ndani ya Maisha Club ya jijini Dar
Hapa ni furaha tu
Dogo Aslay akiimba kwa hisia moja ya nyimbo za Yamoto Band
Mmoja wa waimbaji wa Yamoto Band akitoa burudani ya nguvu kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar nyuma ni madansa wao
Mmoja wa waimbaji wa Yamoto Band akitoa burudani ya nguvu akipewa zawadi na mmoja wa mashabiki wao kwenye uzinduzi wa nyimbo yao mpya iitwayo "Niseme"
Hapa ni mwendo wa kucheza