RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kanali James Ruzibiza Stashahada ya Usalama na Stratejia (Diploma in Security and Strategic Studies) katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUHUSU MUIMBAJI WA INJILI BAHATI...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACPNa: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi DodomaGari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR
Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 28,2014
BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 29, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleIZO BUSINESS NA BEN PAUL WAPAMBA UZINDUZI WA KAMPENI YA SHUGA REDIO MKOANI...
Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumba akitoka kukagua jukwaa lenye hadhi ya kimataifa la Ebony FM kwenye uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio uliofanyika jana kwenye viunga vya Samora...
View ArticleSIMANZI ZAENDELEA KUTAWALA NDANI YA NYUMBA YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)...
Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji...
View ArticleTAMKO LA JUKWAA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA LINALOANZA DODOMA AGOSTI 5, 2014
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza...
View ArticleMKONO WA EID EL FITR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND UGHAIBUNI
Bendi maarufu ya muziki wadansi barai ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni" yenye makao yake nchini Ujerumani, Inawapa mkono wa IDD el Fitrwadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni...
View ArticleEID MUBARAK WADAU WETU
Uongozi wa Mtandao wa Pamoja Blog unawatakia wadau wake na wapenzi wake sikukuu njema ya Eid Mubarak na mungu awasimamie kwenye sherehe hii.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu...
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA AFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA SWALA YA IDDI DAR ES SALAAAM
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa...
View ArticleSERIKALI YASITISHA AJIRA MPYA KATIKA IDARA YA UHAMIAJI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP...
Washtakiwa wakiwa katika gari la polisi Wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka. Wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitakaENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Washtakiwa...
View ArticlePICHA: NYUMBA ZAIDI YA 18 ZABOMOLEWA NA CDA ENEO LA MAKULU MKOANI DODOMA
Watoto wakiwa wanaangalia vitu vya ndani vilivyokusanywa pembeni mwa nyumba iliyobomolewa na Tingatina la Mamraka ya ustawishaji makao makuu (CDA) ambapo jumla ya nyumba 18 zilibomolewa katika...
View ArticleSWALA YA EID EL FITR KITAIFA YASWALIWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar...
View ArticleMKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU UFADHILI WA MIRADI YA MAENDELEO KATI YA...
Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip I. Mpango (wa pili kushoto) akifungua mkutano wa majadiliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan...
View ArticleMALAYSIA AIRLINES KUBADILI JINA BAADA YA NDEGE ZAKE 2 KUPATWA MAJANGA NDANI...
Kampuni ya ndege ya Malaysia Airlines inafikiria kufanya mabadiliko kadhaa katika kuboresha biashara baada ya majanga yaliyozikuta ndege zake mbili ndani ya miezi sita mwaka huu na kuathiri biashara...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 30,2014
BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST...
Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali. Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofarikiENDELEA KUSOMA...
View Article