WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gasi kutokea katika jiji la Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto mkubwa uliopindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.
Majeruhi makitolewa eneo la mlipuko.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Moto mkubwa ukiendelea kuwaka mtaa wa Kaohsiung nchini Taiwan
Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.