Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI,LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!

$
0
0
 Digna Mpera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa,Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.
 Mary Lukos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake
 Aneth Kusha a.k.a AK47 au Le meneja her self akiimba kwa furaha kabisa ndani ya Thai Village kuwapa mashabiki wake burudani ya nguvu
 Sam Mapenzi akipiga vocal za ukweli kwa hisia kaliii
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Hashimu Donode akiwarahatupisha mashabiki wake kwa vocal kaliiii na tamu
 Mary Lukos akipiga zile vokali nzito zilizoshiba ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita
 Digna mpera akiimba taratibuuuu kwa vitendo kuwapa burudani yakutosha mashabiki wake ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita usikose Leo kwa Mtonyo mdogo tuuuu
 Skylight Divas Wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha Thai Village Ijumaa iliyopita,Wa kwanza kushoto ni Mary Lukos,Digna Mpera(katikati)na Wa kwanza kulia ni Aneth Kushaba
 Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa Mashabiki wao ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita wa kwanza kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba(katikati)na wa mwisho kutoka kulia ni Sam Mapenzi
 Muziki ni furaha,hapo pichani ni mpiga tumba nambari moja kwa sasa Tanzania Daudi Tumba akifurahia kazi yake kwa raha mnooooo,Hii ndio Skylight bwanaaaaa
Mpiga kinanda mahiri wa Skylight Band Amos Kinanda akizipga nota zake vizuriiii kabisaaaa kutoa ala tamu kwa mashabiki wake ndani ya Thai village
 Anaitwa Idrisaaa hapo akizicharanga Drums zake kwa Rahaaa ili kuwapa Burudani mashabiki wake
 Ebwana Ehh anaitwa Allen Kiso hapo akizipiga kisu nyuzi za gitaa lake la solo kwa furaha na Umakini mkubwa ili kuwapa burudani mashabiki wake
 Poziii kwa Poziiii anaitwa Mozee Vinanda hapo akionyesha mikogo kwa rahaaa zake namna kinanda kinapigwa ili kuwapa muziki mzuri mashabiki wakeee
 Topy mabass huyu ni mpiga Bass gitaaa wa Skylight Band akizicharanga nyuzi za gitaa lake kwa umakini na furaha teleee
 Hapo sasaaaa mashabiki wakicheza kwa rahaaaa zaoooooo
 Sugua suguaaaa mguuu wa kushoto mbeleeeeee,mguu wa kulia nyumaaaaaaa hapo mashabiki wa Skylight band wakifurahia mastyle makaliiii toka kwa wanamuziki wa Bendi
 Kwa Rahaaaaa zao wakiserebuka njoo nawewe Ijumaa ya leo ufurahie muziki mzuri
 Le Meneja Her Self Aneth Kushaba Akifurahia Ukodak wa nguvuuuuuu toka kwa lenzi zetu
 Le Meneja Her Self Akifurahia Muziki mzuriiiii toka kwa vijana wake Ndani ya Thai Village
 Digna Mpera akiwa back stage akifurahia ukodak wa kamera zetuuu
 Digna Mpera wa kwanza kushoto akiwa na Mary lukos Wakipata ukodak
Hapooooooooooo Sasaaaaa Mashabiki wa Skylight Band wakifurahi kwa Rahaaaa Zao
 Shabiki si akadataaaa kwa muziki mzuri wa Skylight Band akaanza kucheza kwa madahaaa na Sam Mpenzi
 Shabiki si akadata na Muziki mzuri wa Skylight Band,akasema msinitanieeeeee akapanda jukwaaani akaanza kucheza kwa rahaaaaa kabisa na sam Mapenzi
 Happyyyyy Hapyyyyy Hapyyyyyyyyyyy mashabiki wa Skylight Band wakiimbishwa na Aneth Kushaba kwa rahaaaaa zaooo
 Donode naye mzuka ukapandaaaaa akaenda kuimba na mashabiki
 Nyomiiiiiiiiii Lakutosha
 Le meneja Her Self Aneth Kushaba akiwajibikaaa vyakutoshaaa kwenye jukwaaa
 Weweeeeeeee weweeeeee hapana chezea Aneth Kushaba wewe hapo akionyesha umahiri wa kudansiiii
 Hiii ndio Skylight Band bwanaaaa wakali wa majukwaaa ya dansi tanzania Hapo ni Aneth Kushaba akiwajibika sawa sawiiiiiiii
 Daudi Tumba alimkunaaaaa vilivyo Meneja Aneth Kushabaaaaaa mpaka akatunzwaaa
Sisi hatukosi Skylight Band Kila Ijumaaaa wewe uikae nyumbaniii njooo ufurahi nasiiiii Leo Ijumaaaaaa,ni mashabiki wa bendi wakiwa wanafurahia

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>