BREAKING NEWS: NDEGE YA ALGERIA ILIYOKUWA NA 116 YAANGUKA
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka.Msako wa kutafuta mabaki ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 25, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMAAJABU: KIJANA ANG’OLEWA MENO 232 KWA KUTUMIA NYUNDO NA TINDO
Dr Sunanda Dhiware, mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai amesema wamekutana na tukio la ajabu, kwa mgonjwa waliyemng’oa meno 232 kinywani baada ya kufikishwa hospitali...
View ArticleAISHA BUI SASA KUJA NA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO "MSHALE WA KIFO"
Aisha Bui ndio msanii wa kike anaejitambua baada ya kuamua kufanya filamu zake na kuona kushirikishwa inachukua muda ndipo akaanza ku produse filamu zake mwenyewe hivi karibuni anakuja na "mshale wa...
View ArticleMAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU...
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mkoani Mtwara kabla ya Ufunguzi wa Barabara ya Masasi –Mangaka na uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya Mangaka –Mtambaswala 71.5km Waziri wa...
View ArticleDAWASCO WASHUSHA RUNGU KWA ALIYEJIUNGANISHIA MAJI KINYUME NA SHERIA KIMARA...
Wafanyakazi wa kampuni ya Majembe Auction Mart wakifungua mashine ya kutengenezea matofali katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam.Wizara ya Maji iliamrisha kukamatwa kwa vifaa na mali...
View ArticleTUJUMUIKE PAMOJA LEO KUCHEZA WIMBO MPYA WA SKYLIGHT BAND "PASUA TWENDE" KIOTA...
Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini...
View ArticleMABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA IKIWA NA WATU 116 NJIANI KUTOKA BURKANAFASO KWENDA...
Maafisa wa Jeshi wa Burkina faso wamesema ndege hiyo iliyokuwa chini ya shirika la ndege la Algeria imeanguka karibia kilomita 50 kutoka mpaka wa Burkanafaso.Waongoza ndege walipoteza mawasilino na...
View ArticlePICHA: MASHABIKI WA MPIRA WANAOIUNGA MKONO PALESTINA WAVAMIA WACHEZAJI WA...
MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki...
View ArticleSERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA
Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kulia), akiangalia moja ya mabehewa kati ya mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.3 aliyoyapokea kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan...
View ArticleELIMU DUNI NA ISIYO SAHIHI YA MATUMIZI YA KONDOMU INACHANGIA MAAMBUKIZI MAPYA...
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na...
View ArticleMTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE BUNGE MAALUM
Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleRAIS KIKWETE AMUAPISHA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuuya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. akitia saini hati ya Kiapo mbeleya...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO MUHIMU KAMA UNA TATIZO AU UMEKWAMA USIOGOPE KUOMBA MSAADA
Watu wengi wanaposhindwa jambo au mambo fulani huwa hatuombi msaada ili tuweze kusaidiwa pale ambapo tuna tatizo au kushindwa. Tunaogopa kuonekana kwamba kumbe hatujui kulingana na jinsi watu...
View ArticleWAUMINI WA ORTHODOX NCHINI UKRAINE SASA KUSALI/KUINGIA KANISANI KWA KUTUMIA...
Kanisa la Orthodox nchini Ukraine limeanza kutumia smartphones kuwawezesha waumini kusali/kuingia kanisani wakiwa majumbani mwao.Kanisa la Svyato-Troyitskyy (Utatu Mtakatifu) kwenye wilaya ya...
View ArticleNEW SONG: DEREVA MAKINI-BANABA, AMINI, DAYNA & MR.BLUE
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani,wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 26,2014
BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKIPINDI CHA “MIMI NA TANZANIA” CHAVUKA MIPAKA YA TANZANIA, SAFARI NI NDANI YA...
Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha 'Mimi na Tanzania' Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili...
View ArticleBARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA KINONDONI LAWAFUKUZA WATUMISHI TISA NA...
Taarifa Kwa Vyombo Vya HabariPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI YAIFUNGIA HOSPITALI YA IMTU BAADA YA KUTOKIDHI VIGEZO
Serikali imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), baada ya kuifanyia ukaguzi na kubaini kasoro kadhaa za uendeshaji wake. Ukaguzi huo ulifanywa jana na jopo la...
View Article