$ 0 0 Aisha Bui ndio msanii wa kike anaejitambua baada ya kuamua kufanya filamu zake na kuona kushirikishwa inachukua muda ndipo akaanza ku produse filamu zake mwenyewe hivi karibuni anakuja na "mshale wa kifo" ambayo amemshirikisha gabo.