Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuuya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam.
akitia saini hati ya Kiapo mbeleya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Dkt. JakayaMrishoKikweteakiwekasainihatiyaKiapo cha JajiKiongoziwaMahakamaKuuya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila wakatiwahaflayakuapishwakwajajihuyoleojijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi hati ya Kiapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Shaban Ally Lila wakati wa hafla ya kuapishwa kwa jaji huyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akimpongeza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila mara baada ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika Ikulu leo jijini Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe.Shaban Ally Lila akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Majaji wa Mahakama KuuTanzania mara baada ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika Ikulu leo jijini Dar esSalaam. Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman.
Picha zote na Frank Shija- MAELEZO.