Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BET AWARDS 2014; WATIZAME HAPA WALIOSHINDA TUZO HIZO

$
0
0

 Sherehe ya utoaji wa tuzo za ‘BET Awards 2014’ zimefanyika jana (June 29) katika ukumbi wa Nokia Theatre, Los Angeles, Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali. Beyonce ndiye aliyeondoka na tuzo nyingi zaidi baada ya kuweka kibindoni tuzo tatu ikiwemo 2014 FANdemonium award ambayo ilikuwa ni ya kura za masahbiki.
Pharrell Williams na August Alsina waondoka na tuzo mbili kila mmoja.
Nicki Minaj aliinyakua tuzo ya msanii bora wa Hip Hop wa kike, huku Drake akimwaga Jay Z na kushinda kipengele cha msanii bora wa Hip Hop wa kiume.
Kwa mara nyingine Lupita Nyong’o ameongeza idadi ya tuzo kabatini kwake baada ya kushinda kipengele cha muigizaji bora wa kike.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Davido ndiye msanii aliyeshinda kipengele cha Best International Act: Africa ambacho alikuwa akiwania na Diamond (Tanzania) Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana) pamoja na Tiwa Savage (Nigeria).
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za BET Awards 2014.
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé (WINNER)

Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams (WINNER)

August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake

Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love” (WINNER)

August Alsina f/ Trinidad Jame$ – “I Luv This”
Drake f/ Majid Jordan – “Hold On (We’re Going Home)”
JAY Z f/ Justin Timberlake – “Holy Grail”
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – “Blurred Lines”
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – “My Hitta”


Best Movie
12 Years a Slave (WINNER)

The Best Man Holiday
Fruitvale Station
Kevin Hart: Let Me Explain
Lee Daniels’ The Butler

Best Actress
Lupita Nyong’o (WINNER)

Angela Bassett
Gabrielle Union
Kerry Washington
Oprah Winfrey


Best Actor
Chiwetel Ejiofor (WINNER)

Forest Whitaker
Idris Elba
Kevin Hart
Michael B. Jordan

Video of the Year
Pharrell Williams – “Happy” (WINNER)

Beyoncé – “Partition”
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love”
Chris Brown – “Fine China”
Drake – “Worst Behavior”


Best Male Hip Hop Artist
Drake (WINNER)

Future
J. Cole
JAY Z
Kendrick Lamar


Best Female Hip Hop Artist
Nicki Minaj (WINNER)

Angel Haze
Charli Baltimore
Eve
Iggy Azalea

Best Group
Young Money (WINNER)

A$AP Mob
Daft Punk
Macklemore & Ryan Lewis
TGT


Subway Sportsman of the Year
Kevin Durant (WINNER)

Floyd Mayweather Jr.
Carmelo Anthony
Blake Griffin
LeBron James


Subway Sportswoman of the Year
Serena Williams (WINNER)

Brittney Griner
Lolo Jones
Skylar Diggins
Venus Williams


Best Gospel Artist
Tamela Mann (WINNER)

Donnie McClurkin
Erica Campbell
Hezekiah Walker
Tye Tribbett


Best New Artist
August Alsina (WINNER)

Ariana Grande
Mack Wilds
Rich Homie Quan
ScHoolboy Q


YoungStars Award
KeKe Palmer (WINNER)

Gabrielle Douglas
Jacob Latimore
Jaden Smith
Zendaya

Centric Award
Jhené Aiko – “The Worst” (WINNER)


Aloe Blacc – “The Man”
Jennifer Hudson f/ T.I. – “I Can’t Describe (The Way I Feel)”
LiV Warfield – “Why Do You Lie?”
Wale f/ Sam Dew – “LoveHate Thing”
Best International Act: UK
Krept & Konan (WINNER)


Dizzee Rascal
Ghetts
Laura Mvula
Rita Ora
Tinie Tempah
Video Director of the Year
Hype Williams (WINNER)


Benny Boom
Chris Brown
Colin Tilley
Director X

Best International Act: Africa
Davido (Nigeria) (WINNER)

Diamond Platnumz (Tanzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>