Meza kuu kwenye uzinduzi wa matangazo ya televisheni kwa mfumo wa Digitali iliyofanyika leo wilayani kahama.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mpesya akisoma hotuba katika uzinduzi wa dijitali Kahama uliofanyika leo tarehe 31/05/2014
Baadhi ya wananchi walioudhuria