Msanii mkongwe wa vichekesho, Said Ngamba almaarufu kama Mzee Small,amesema ingawa bado anaishi lakini afya yake bado haijawa vizuri.
Mzee Small ameiambia Mtandao huu kuwa bado ‘naugua ingawa naishi’ huku akiwataka watu wamuombee aweze kupona kabisa.
“Namshukuru Mungu sijambo kidogo,bado sijisikii vizuri ila ili mradi naishi,ndio hivyo,mimi ninajisikia furaha mpaka watu wananikumbuka, kumbe niko hai.”
Na Bongo 5