Hapa ndipo walipoingilia waliochoma ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha
Na aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia CCM miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi.
Mwonekano wa Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha iliyochomwa moto baaada ya kuufanikisha kuuzima moto huo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Hii ndio hali halisi baada ya kuchomwa kwa ofisi ya CHADEMA Mkoani Arusha.
CHANZO: JAMII FORUM