Twiga huyu akipiga mbizi kwa madaha.
Tumekuwa na mazoea sana kuona wanadamu tuu ndio wanajua kuogelea kwa umahili mkubwa ...na kuona viumbe kama Samaki, Mamba na Baadhi ya wanyama kama Mbwa, Ng'ombe ndio mahili kwa kuogelea .. Lakini hatujawahi kufikiria kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea pengine zaidi ya hao waliotajwa hapo juu.Mnamo mwaka 2012, Gazeti la mtandaoni Daily mail walimshuhudia kwa macho.. mnyama Twiga kutoka Tanzania akiogelea kwa makini katika Swimming Pool bila kujali na mwisho kujiondokea baada ya kula Bata ndani ya Maji hayo.