Baadhi ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye traini la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itirafu kwenye Engine ya Traini ilo. Kutokana na tatizo ilo Imepelekea usumbufu kwa abiria waliofika toka saa 10 na wengine kufika saa 9 lakini hakuna ufumbuzi uliotolewa kuhusu tatizo ilo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye Train la Mwakyembe kwa muda mrefu