YALIYOJIRI KWENYE KITCHEN PARTY GALA JIJINI DAR ES SALAAM
PSI/Tanzania ni Shirika lisilokuwa la kiserikali lililojikita katika kuboresha maisha ya watanzania kwa kutoa elimu na huduma za afya pamoja na kusambaza bidhaa za afya kote nchini. Katika...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSKYLIGHT BAND NA BODABODA BAND YA KIDUMU YATIKISA JIJI LA DAR ESCAPE ONE
Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya "Kariakoo" uliosoindikizwa na...
View ArticleTANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA SALMIN SWAGGZ - FADED
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleASKARI TRAFIKI SITA WATIMULIWA WA MKOANI MBEYA
Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya SACP Ahmed MsangiJeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari sita wa kikosi cha Usalama barabarani Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi...
View ArticleFURSA: MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI KUANZA TENA MWEZI MEI
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoeziAction Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea...
View ArticleBASI LA SUMRY LAUA KWA KUGONGA WATU 13 AKIWEMO ASKARI WA USALAMA BARABARANI...
WATU 13 akiwemo askari wa kikosi cha usalama barabarani wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Kigoma kwenda Dar katika kijiji cha Ikungi mkoani Singida....
View ArticleKHAAA!!!! KISA HATI YA MUUNGANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 30, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: UPDATES KUHUSU AJALI ILIYOTOKEA MKOANI SINGIDA
Watu 19 wa kijiji cha Utaho wilayani Ikungi wamepoteza maisha wakiwemo askari wanne wa jeshi la polisi, baada ya kugongwa na basi la Summry wakati wakiwa wana toa msaada wa kumpakia marehemu kwenye...
View ArticleMAJAMBAZI YAUA ASKARI POLISI WAWILI KWA RISASI MKOANI TABORA
Baadhi ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi namba moja aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa ya Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa...
View ArticleMMILIKI WA TIMU YA L.A CLIPPERS, DONALD STERLING AFUNGIWA MAISHA KUSHIRIKI NBA
Donald Sterling na mpenzi wake V. StivianoMmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling amepigwa marufuku na chama cha mchezo huo, NBA katika maisha yake kujihusisha na...
View ArticlePOLISI WAKAMATA MISOKOTO 6,000 YA BANGI MKOANI MANYARA
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata...
View ArticleBASI LA AM COACH LAPATA AJALI ENEO LA IPULI NA KUSABASHA KIFO CHA MWANAFUNZI...
Umati mkubwa wa watu ambao ulifiika kushuhudia ajali hiyo mbaya Askari Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani...
View ArticleSAFISHA JIJI YAENDELEA LEO KARIAKOO JIJINI DAR
Tingatinga la Manispaa ya Ilala likibomoa vibanda vilivyojengwa maeneo yasiyoruhusiwa Kariakoo katika operesheni safisha jiji iliyofanyika Dar es Salaam, mitaa ya Aggrey na Livingstone. Askari wa...
View ArticleASKOFU GERVAS NYAISONGA AAGWA JIMBONI DODOMA AKIELEKEA MPANDA
Askofu Gervas Nyaisonga akifukiza Ubani mbele ya Sanamu ya Yesualipokua akisujudu kabla ya kuwaaga waumini wa kanisa katoliki jimbola Dodoma na kuelekea jimbo la Mpanda kwa ajili ya kazi kama hiyo. Mke...
View ArticleWAZIRI CHIKAWE, IGP, DCI WALA KIAPO CHA KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile...
View ArticleHATARI: TANESCO WAAMUA KUCHUKUA UAMUZI WA KUFUNGA NYAYA JUU YA MTI BAADA YA...
Hii ndio Njia Mbadala waliyoiona TANESCO kutumia kwa kufunga nyaya hizo juu ya Miti baada ya kubadirisha nguzo iliyoharibika Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari...
View ArticleTANGAZO LA KUITWA KAZINI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article