Askofu Gervas Nyaisonga akifukiza Ubani mbele ya Sanamu ya Yesualipokua akisujudu kabla ya kuwaaga waumini wa kanisa katoliki jimbola Dodoma na kuelekea jimbo la Mpanda kwa ajili ya kazi kama hiyo.
Mke wa Waziri mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, Mkuu wa Mkoa waDodoma DKT Rehema Nchimbi na viongozi wengine Wakiwa katika ibadamaalumu ya kumuaga aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Dodoma GervasJohn Nyaisonga aliyehamishiwa Jimbo la Mpanda.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waumini wa Madhehebu ya Roman Katoliki [RC] Jimbo la Dodoma wakiwakatika ibada maarumu ya Shukurani kwa ajili ya kumuaga AliyekuwaAskofu wa jimbo hilo Gervas John Nyaisonga aliyehamishiwa Mpanda.
Paloko wa kanisa la Paulo wa Msalaba Deogratias Chundu akitoa hudumaya kumlisha mmoja wa watoto waliohudhulia tukio la kumuaga aliyekuaAskofu wa wa jimbo katoliki la Dodoma Gervas Nyaisonga anayehamiajimbo la Mpanda, Sakrament [Mwili wa Bwana]
Watoto wakiselebuka wakati wa kumuaga askofu huyo.