Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya "Kariakoo" uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.
Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
wageni wakihudumiwa Tequila shots!
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa mashabiki wa Band hiyo.
Burudani ikiendele huku wengine wakicheza.
Palikuwa hapatoshi Escape One.
Swagga za vijana wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 na Digna Mbepera sambamba wakitoa burudani kwa umati wa mashabiki wa Skylight Band kwenye kita cha Escape One Mikocheni jijini Dar walipofanya show maalum ya kutambulisha Video yao mpya ya Kariakoo na kusindikizwa na Bodaboda Band ya Kidumu kutokea nchini Nairobi.
Sam Mapenzi akikamua jukwaani.
Uzinduzi wa Video mpya ya Skylight Band inayofahamika kwa jina la "Kariakoo" ikiwa hewani na kushuhudiwa na mamia ya mashabiki wa Band hiyo.
Skylight Band wakimamua wimbo wa Kariakoo Live kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Escape One.
Na watuache kwa raha zetu.....!
Vijana wanasuuza roho yangu hawa.....aaah jamani!..Skylight Band ni Balaaaaaaaaaaaaaaaaa..asiyekubali mchawi.
What would I do without your smiling mouth?....Drawing me in, and you kicking me out You've got my head spinning, no kidding, I can't pin you down...What's going on in that beautiful mind...I'm on your magical mystery ride.....And I'm so dizzy, don't know what hit me, but I'll be alright...
Daudi Tumba wa Skylight Band akifanya yake jukwaani.
It might seem crazy what I’m about to say...Sunshine she’s here, you can take a break..I’m a hot air balloon that could go to space....With the air, like I don’t care baby by the way...Aneth Kushaba AK47 akito burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akipewa sapoti na Hashim Donode, Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard.
Because I’m happy...Clap along if you feel like a room without a roof...Because I’m happy...!!!
When fans feel the music...imagine?
Waimbaji na wapiga vyombo wa Bodaboda Band wakisakata sebene la Skylight Band.
Joniko Flower akiwahenyesha Bodaboda Band na sebene la Skylight Band.
Bodaboda Band wanayaweza bwana.
Bodaboda Band ya Kidumu wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band walipoamua kufanya show ya pamoja kusindikiza utambulisho wa video mpya ya Kariakoo ya Skylight Band kwa mashabiki wake.
Waimbaji wa Bodabida Band ya Kidumu wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Mpiga Solo wa Bodaboda Band akiwajibika.
Twende kazi...Kidumu na Bodaboda Band wakifanya yao.
Wabongo wakichizika na Bodaboda Band.
Palifurika sana....wewe tu unayesoma post hii ndio umekosa.
Burudani ikidendelea kutoka kwa Bodaboda Band ya Kidumu.
Shangwe zikiendelea na Bodaboda Band ya Kidumu.
Shosti JembeniJembe ni balaaaaaa!
Sio TMK ni bodaboda band wakifanya yao jukwaani.
Msanii Kidumu na Joniko Flower wa Skylight Band kwa pamoja wakicheza na kuimba jukwaa moja kwenye show iliyowabamba wakazi wa jijini Dar.
Mkurugenzi Mkuu wa Skylight Band Dr. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe sambamba na vijana wake wakisakata sebene la aina yake.
Kidumu akiwafundisha staili ya kusakata sebene.
JembeniJembe hashindwagi kitu....!!!
Twende kazi.....!
JembeniJembe sambamba na Aneth Kushaba AK47 wakionekana kufuzu uchezaji wa Kidumu.
Na burudani iendelea mpaka kucheeeee...!
Couples iliyobamba usiku wa Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu.
Mdau Dagma akishow love na mchizi wake.
Swaggaz!
Wadau wa Kijitonyama wakipata Ukodak.
One Love bata na liendeleeee...!!!
Joniko Flower na Fans wake kutoka jijini Arusha.
Winfrida Richard wa Skylight Band akiwa backstage na marafiki zake.
Chege Chigunda na Julio Batalia wakishow love na Joniko Flower.
Mpiga Bass mpya wa Skylight Band Tophy akishow love na msanii maarufu kutoka nchini Kenya Kiduma aliyetawala jukwaa moja na Skylight Band pamoja na Bodaboda Band.