VIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO
Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMATAJIRI/WATU WALIOFANIKIWA NA HADITHI YA USINGIZI WA ‘SAA NNE’, UNAHITAJI...
Kwa Gregory McKee, kupata usingizi mzuri usiku ni jambo muhimu kama kula chakula sahihi na kufanya mazoezi mara kwa mara. Asipopata usingizi wa saa nane, mwanzilishi na mkurugenzi huyo mtendaji wa...
View ArticleWATU 12 WA FAMILIA MOJA WAFA AJALINI
Lori la mizigo aina ya Fusso likiwa limegongana na gari ndogo aina ya Toyota Hilux Pick Up katika eneo la Hedaru, wilayani Same, Kilimanjaro, juzi na kusababisha vifo vya watu 12. Picha na Alex...
View ArticleHIZI NI HOTELI 15 AGHALI ZAIDI DUNIANI, YA KWANZA INATOZA TSHS MIL 135 KWA...
1. Kwa gharama ya $83,200 (sawa na zaidi ya shilingi milioni 135) kwa usiku mmoja, Royal Penthouse Suite kilichopo Hotel President Wilson ya Geneva ndicho chumba aghali zaidi duniani.Chumba hicho kina...
View ArticleTANAPA YAKANUSHA KUUZWA KWA HIFADHI YA KATAVI
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha alipokutana nao kutoa ufafanuzi kuhusiana na kutokuwepo kwa mpango wa kuikabidhi Hifadhi ya Taifa ya Katavi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 31, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA MSIMAMO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAJALI YATOKEA RUFIJI, YAUA WATU 22
Wananchi wakiangalia daladala iliyopata ajali juzi usiku katika eneo la Kijiji cha Mkupuka, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Picha na Amini Yasini Siku moja baada ya ajali kuua watu 12 wilayani Same,...
View ArticleSHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE YAFANYA KATIKA UKUMBI WA EAST 24...
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Mengele (Nyerere) akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa sherehe ya Kutimiza miaka 3 ya Klabu ya Bongo Movie, sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo...
View ArticleHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA...
Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika...
View ArticleMPYAA: MAJINA YA WALIMU WALIOBADILISHIWA VITUO VYAO VYA KAZI HAYA HAPA
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINICHETI DIPLOMA SHAHADA Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMATUMIZI YALIYOKITHIRIKI YA SMARTPHONES YANAWEZA KUHARIBU MACHO
Watengenezaji wa miwani za macho wanahofia kuwa kutazama mwanga unaotoka kwenye vifaa kama simu kunaweza kusababisha matatizo ya muda mrefu ya macho.Wamedai kuwa watu wanaotumia sana smartphones...
View ArticleMVUA YAKIHARIBU KITUO CHA MABASI NJOMBE, KERO YAWA KUBWA KWA WATUMIAJI
Hii ndiyo hali halisi, baada ya mvua kunyesha hii leo mkoani Njombe, kituo hicho kimegeuka matope matupu, na kusababisha watumiaji wa kituo hicho kupata tabu ya kutembea kwa shida na kutafuta eneo la...
View ArticleDARAJA LA RUVU LAFUNGWA, MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO AWAPIGA 'STOP' WAKAZI WA...
Wakazi wa Kiwangwa, wa Kiwangwa, wakivushwa na vijana waliojitolea kujipatia ajila katika Daraja la Ruvu kwa kuwavusha wananchi kwa kuwabea ama kuwaongoza njia ili kuvuka eneo hilo la daraja lililojaa...
View ArticleTAZAMA KIPANDE CHA VIDEO YA ‘DO AGRIC’ YA WASANII WA AFRIKA WAKIWEMO AY NA...
Video ya wimbo uliofanywa na wasanii 22 wa Afrika kuhusiana na kampeni ya ‘Do Agric’ ya mradi wa One Campaign uitwao, ‘Cocoa na Chocolate’ itatoka leo March 31. Kwa sasa tazama vipande vya video hiyo...
View ArticleBREAKING NEWS: SHAMBULIZI LA KIGAIDI LAWAUA 6 KENYA
Watu sita wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California mtaa wa Eastleigh, mjini Nairobi.Polisi wamesema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 01, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA ROBO FAINALI ZA KWANZA KWENYE EUFA CHAMPIONS LEAGUE...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJE UNA WAZO LA BIASHARA? JIULIZE KWANZA, KWANINI UNATAKA KUANZA BIASHARA SASA?
Kama ndio kwanza unamaliza chuo na mazingira ni magumu kupata kazi. Inawezekana uko katika mazingira mazuri kuliko mtu ambaye hajaaenda shule kama yako. Je una mtazamo gani? Na umejipanga vipi? Ukweli...
View Article