ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ILIVYOKUTANA NA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU...
Gari ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Meck Sadicky likinasuliwa kwenye tope baada ya kukwama katika kijiji cha Mataya-Ruvu Chini,yote hiyo ikiwa ni sehemu ya changamoto ya Miundo mbinu hasa...
View ArticleDOCTORS: MATUMIZI YA APP ZA KUCHAT KWENYE SIMU YANAWEZA KUATHIRI AFYA, NI...
Daktari mmoja wa Hispania amedai kukutana na mgonjwa wa kwanza wa ‘WhatsAppitis’, tatizo lililotokana na kuchat kwa WhatsApp kwa muda mrefu.Mgonjwa huyo ambaye hakutajwa jina amedai kupata maumivu...
View ArticleMVUA ZA DAR ES SALAAM ZINAENDELEA KUNYESHA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMTI WADONDOKA NA KUZIBA BARABARA YA TRA ENEO LA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM
Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge. Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo...
View ArticleSERIKALI KUJENGA BANDARI YA MWAMBANI
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Freddy Liundi (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelezo juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mwambani kwa kiongozi wa timu ya wakaguzi wa miradi ya...
View ArticleWANAUME WA KOREA KASKAZINI WAAMRIWA KUNYOA STYLE MOJA YA NYWELE YA KIONGOZI...
Hii ndio ‘Dear Leader’ style wanayotakiwa kunyoa wanaume wa Korea KaskaziniTumekuwa tukisikia sheria mbalimbali zikipitishwa katika nchi mbalimbali zinazowataka watu wavae au wasivae mavazi ya aina...
View ArticleHALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA.
Hivi ndivyo maji yanavyoonekana kujaa katika makazi Jangwani Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani TAZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Muonekano wa nyumba pamoja na njia...
View ArticleTUHUMA NZITO BUNGENI,NI ZA RUSHWA DHIDI YA WAZIRI MKUU PINDA
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba wakishangilia wakati mjumbe mwenzao, Joshua Nassari alipounga mkono kimakosa hoja ya kura ya wazi wakati anatoka upande unaoipinga. Picha na Salhim Shao Hali ya...
View ArticleVIONGOZI WA SERIKALI NA WANANCHI WA DODOMA MJINI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU...
Mchungaji akiombea Safari ya Mwili wa Marehemu Jonh Gabriel Tuppa (aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara) Kutoka Mkoa wa Mara Kueleka Morogoro Kwaajili ya Mazishi. Jeneza lilobeba Mwili wa Marehem John...
View ArticleTRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAWA,DODOMA
Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika...
View ArticleUPDATES ZA SHEREHE YA BONGO MOVIE KUTOKA ARCADE HOUSE
WAREMBO WAKIWA NA CHUPA ZA WINDHOEK RAIS WA BONGO MOVIE STEVE NYERERE AKIHOJIWA STEVE NYERERE AKIELEZEA JAMBOENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa...
View ArticleTAZAA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOJCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUSOMA HABAFI HII KWA KUBOFYA HAOA CHUNI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA VIDEO YA KESI YA OSCAR PISTORIUS YAAHIRISHWA HADI APRIL
Itaendelea tena April 7 mwaka huu.Pistorius anakabiliwa na kesi ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp Feb 14 mwaka jana Kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius...
View ArticleFACEBOOK YAPANGA KUTUMIA NDEGE ZISIZO NA RUBANI NA SATELLITE KUSAMBAZA...
Theluthi ya idadi ya watu wote duniani haina access na Internet. Facebook tayari ina zaidi ya watumiaji bilioni 1, lakini kabla haijampata kila mtu duniani ni lazima kila mmoja awe na access na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MARCH 29, 2014
TUNAOMBA RADHI KWA KUTOWAWEKEA MAGAZETI KWA MUDA HUSIKA HII NI KUTOKANA NA TATIZO LILILOTOKEA KUWA NJE YA UWEZO WETU ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 30, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleMAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU WAONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMVUA YAVUNJA PAMBANO DODOMA
Uwanja wa jamhuri Dodoma ukiwa umejaa maji baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mchezo wa ligi ya mkoa hatua ya sita bora kati ya CDA na Sheli Kuvunjika katika dakika ya 54. Mwenyekiti wa chama...
View ArticleWATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO...
Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani...
View Article