Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HIZI NI HOTELI 15 AGHALI ZAIDI DUNIANI, YA KWANZA INATOZA TSHS MIL 135 KWA USIKU MMOJA

$
0
0
1. Kwa gharama ya $83,200 (sawa na zaidi ya shilingi milioni 135) kwa usiku mmoja, Royal Penthouse Suite kilichopo Hotel President Wilson ya Geneva ndicho chumba aghali zaidi duniani.
Chumba hicho kina vyumba vingine 12 na bafu 12. Mgeni aliyesafiri bila wapambe hupewa wahudumu binasfi, mpishi na msaidizi.
Hizi ni hoteli zingine aghali zaidi duniani (bei ni kwa presidential suites tu)
2.Raj Palace Hotel, Jaipur, India: Ili kulala usiku mmoja kwenye Shahi Mahal Suite inabidi ulipe $60,000. 

ENDELEA KUTIZAMA TUKO HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Ndani ya suite kuna bustani, bwawa la kuogelea, maktaba, baa na jumba binafsi la sinema
3. Grand Hyatt, Cannes
Presidential Suite yenye vyumba vine kwneye hoteli ya Grand Hyatt Cannes hutoza $51,800
4. Four Seasons, New York
Ty Warner Penthouse Suite kwenye hoteli hutoza $45,000 kwa usiku mmoja
5. Palms Casino, Las Vegas – $40,000
6. St. Regis Saddiyat Island Resort, Abu Dhabi
Royal suite kwenye hoteli hii hugharimi $35,000 kwa usiku mmoja). Suite ina vyumba vinne, jumba binafsi la sinema, bwawa la kuogelea na chumba cha kucheza games. Kuna dining room yenye viti 12 na sebule iliyowekewa piano
7. The St. Regis New York, New York – $35,000
8. Four Seasons Hotel George V, Paris – $30,700
9. The St Regis Mauritius Resort, Mauritius – $30,000
10. Atlantis, The Palm, Dubai – $35,000
11. Le Richemond Hotel, Geneva – $26,700
12. Beverly Wilshire Hotel, Beverly Hills – $25,000
13. Ritz-Carlton Tokyo, Tokyo – $20,000
14. Burj Al Arab, Dubai – $19,000
15. our Seasons Hotel des Burgues, Geneva – $13,400
Chanzo: CNN

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles