Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO YA ‘DO AGRIC’ YA WASANII WA AFRIKA WAKIWEMO AY NA DIAMOND

$
0
0
Video ya wimbo uliofanywa na wasanii 22 wa Afrika kuhusiana na kampeni ya ‘Do Agric’ ya mradi wa One Campaign uitwao, ‘Cocoa na Chocolate’ itatoka leo March 31. Kwa sasa tazama vipande vya video hiyo hapa.
 Video na wimbo huo vilifanyika hivi karibuni nchini Afrika Kusini ambapo D’Banj aliongoza wasanii wengine wakiwemo Buffalo Souljah (Zimbabwe), Judith Sephuma (South Africa), Vusi Nova (South Africa), Liz Ogumbo (Kenya), Nancy G (Swaziland), Dama Do Bing (Mozambique), Diamond (Tanzania), Femi Kuti (Nigeria), Rachid Taha (Algeria), Juliani (Kenya), Omawumi (Nigeria), Tiken Jah Fakoly (Cote d’Ivoire), Fally Ipupa (DRC), Kunle Ayo (Nigeria), Wax Dey (Cameroon), Victoria Kimani (Kenya), Ambwene Allen Yessayah (Tanzania), na Dontom (Nigeria).

 TAZAMA VIDEO NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Wimbo ulitayarishwa kwa ushirikiano wa Cobhams Asuquo na DeeVee wa DB Records huku video ikifanywa na Godfather Productions.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>