Hizi ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Pecolo Beach iliyopo Kawe jijini Dar iliyoteketea kwa moto jana mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo jirani na hoteli hiyo. Endelea kutizama picha zaidi hapa chini
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI