Wasamalia wema wakijaribu kuwatoa abiria waliokuwa kwenye daladala ya kampuni ya UDA baada ya roli kuligonga gari ilo eneo la ubungo terminar . Ajali hii imetokea bada lori la mizigo limefeli break na kupelekea kugonga magari zaidi ya manne. Chombo chetu kinaendelea kufuatiia kama kuna watu wameumia au wamefariki kwenye magari hayo manne. Pia kuna foleni kubwa kwenye barabara ya Morogoro.
Hii ndio hali halisi ya ajali hiyo iliyotokea muda sio mrefu maeneo ya Ubungo terminal
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Umati mkubwa wa watu wakitizama ajali iliyotoke leo eneo la Ubungo