SHEIKH PONDA AKWAMA MAHAKAMA KUU
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda anayekabiliwa na kesi ya uchochezi katika maeneo mbalimbali mjini Morogoro na kukaidi amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar...
View ArticleWANAFUNZI WATESEKA KWA MGOMO WA DALADALA MKOANI MOROGORO
Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani Morogoro.Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya...
View ArticleKILA MTU NI MROHO WA MADARAKA LAKINI UROHO UNATOFAUTIANA, WEWE UMESIMAMA WAPI?
Nguvu ya madaraka na uwezo wa madaraka yenyewe yamefanya watu wengi kufanya vitu vingi ili angalau aonekane anastahili kuwepo kwenye hayo madaraka. Wiki hii sizungumzii viongozi wa serikali, vyama na...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA
Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Mjumbe wa Bunge wa Maalum ambaye pia ni Spika wa Baraza la...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye...
View ArticleYANGA YALAZIMISHWA SARE YA 1- 1 KUTOKA KWA AZAM
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Didier Kavumbagu (wa pili kulia), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ilipopambana na Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleTAZAMA SEHEMU YA KWANZA NA PILI YA MAHOJIANO NA MH. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS MARCH 20, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleWATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI NA...
Watu wawili wamefariki dunia jana baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya...
View ArticleSHABIKI AFARIKI AKISHANGILIA BAO LA YANGA TAIFA
Yanga wakishangilia bao la Didier Kavumbagu (wa pili kulia) lililopelekea mauti ya Deodatus Lusinde.SHABIKI wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia leo baada...
View ArticleAJALI YATOKEA SINZA BAADA YA LORI KUGONGA BODABODA JIJINI DAR
Pikipiki 'bodaboda' ikiwa imekanyagwa na tairi la Scania.AJALI hii imetokea jioni ya leo eneo la Sinza-Palestina, Dar baada ya lori aina ya Scania lenye namba za usajili T303 ABV kuigonga pikipiki...
View ArticleMWANRI: UWANJA WA NDEGE MTWARA KUBORESHWA
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo. Mmoja wa viongozi wa Timu...
View ArticleHII KALI: MBWA ANUNULIWA KWA TSHS BILIONI 3.2 NCHINI CHINA
Mbwa wa huko nchini China amenunuliwa kwa dola milioni 2 (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3.2) na kufanya kuwa mbwa aliyenunuliwa kwa bei kubwa zaidi.Kwa mujibu wa Qianjiang Evening News, mbwa huyo...
View ArticleMWANAFUZI WA CHUO KIKUU DODOMA - UDOM AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA PILI HADI...
Hili ni ghorofa la chuo kikuu UDOM alipojirusha mwanafunzi huyo toka ghorofa ya pili.Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWANAFUNZI WA CHUO CHA UDOM GODLOVE BENJAMIN ALIYEFARIKI SIKU YA IJUMAA...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyekuwa anafahamika kwa jina la Godlove Benjamin, Mwaka wa Tatu aliyekuwa anasoma shahada ya Utawala wa Biashara(BBA) Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social...
View ArticleKINGWENDU ADAI WASANII WA COMEDY BONGO NJAA KALI
Muigizaji mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, Kingwendu amesema wasanii wa fani hiyo wanaongoza kwa kuwa na maisha magumu kutokana kulipwa ujira mdogo katika kazi zao.Kingwendu amesema kuna wasanii...
View ArticleNENO LA LEO LA MTAANI KWETU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSHULE YA SEKONDARI MABIBO NA UBALOZI WA JAPAN WASAINI MKATABA WA WENYE...
Mstahiki Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan Mstahiki meya akiendelea kuzungumza wakati wa usainishwaji...
View ArticleHUU NDIO UFAFANUZI KAMILI KUHUSU PICHA ZA MSANII SNURA KWENDA KWA MGANGA
Baada ya mitandao mingi ya kijamii kuandika habari za kupotosha kuwa msanii Snura amekwenda kwa mganga mtandao huu wa Pamoja Blog umeongea na Menaja wake anayejulikana kwa jina la Hyperman HK na...
View Article