Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2017 amemteua Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.Bibi Anna Elisha Mghwira anachukua...
View ArticleMwigulu Nchemba Awataka Chenge, Werema Waeleze Maslahi Yao Mchanga wa Madini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ametaka wanasheria wakuu wa Serikali wastaafu waeleze hadharani maslahi waliyonayo kwenye kampuni za madini zinazosafirisha mchanga nje ya nchi.Hatua...
View ArticleBALOZI SEIF ATAKA UFUMBUZI WA KUDUMU UPATIKANE BAINA YA MWEKEZAJI NA WANANCHI...
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud kati kati akimuonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi maeneo yalioathirika na mawimbi la Maji ya Bahari katika Pwani ya...
View ArticleWANAWAKE WATAKIWA KUJIAMINI ILI WAFANIKIWE KATIKA UONGOZI
Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo...
View ArticleBavicha wamjia juu Spika Ndugai kumtoa Mnyika bungeni
Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limeaalani kitendo cha udhalilishaji kilichofanywa na Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu jana Waziri Kivuli wa Wizara ya Madini na Nishati, John...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA SEMINA KWA WASTAAFU WATARAJIWA WA MFUKO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu kabla ya ufunguzi wa Semina kwa wastaafu watarajiwa iliyofanyika...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA KILOSA WAILIPE GAIRO DENI LA0
* Ni la sh. milioni 213/- la fedha za maendeleo.*Ataka apewe taarifa ifikapo Juni 30. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Clifford Tandari aitishe...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWASILI BUTIAMA, ATEMBELEA KABULI LA BABA WA TAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kuwasili Butiama ambapo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 04, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWASTAAFU PSPF MWAKA 2017/18 "KULAMBA" SHILINGI TRILIONI 1.3 ZA MAFAO
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, aliongozana na Mkurugenzi wa Uendeshaji Bi. Neema Muro na Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji Bw. Gabriel Silayo, baada ya kufungwa kwa...
View ArticleWAONGOZA UTALII WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA KUWAPENDEKEZA WATAKOINGIA...
Wa kwanza kushoto ni Muasisi wa Tanzania Tour Guide Awards Sadock Mugetta, aliyepo kushot kwake ni Katibu wa Freelance Guides Society of Tanzania(FGST )anayefuata ni mjumbe wa wakiwa katika maonyesho...
View ArticleVIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMONI NDESAMBURO KUTOA POLE...
Maandalizo ya Mazishi ya marehemu Dkt ,Philemoni Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi.Kwaya ikihudumu kwa nyimbo kwa ajili ya kuwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Dkt Philemoni...
View ArticleVIDEO:TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU
Tembo 110 wamevamia mashamba ya wananchi na kufanya uharibifu wa mazao katika kata za Mbati,Kalulu,Namwinyu na Jakika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma na kuua mk azi mmoja wa Mbwembwele aliyejulikana...
View ArticleMWENYEKITI WA BUNGE AONGOZA MAZISHI YA MAMA WA MTEMVU JUNI 2, 2017
Enzi ya uhai wa Sitti MtemvuMazishi ya Sitti Mtemvu, mama wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu yaliyofanyika Dar es Salaam, Juni 2, 2017 katika makaburi ya Kinondoni ya kiongozwa na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 05, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWaziri Mkuu Kutuma Mkaguzi wa Dawa Gairo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema atatuma mkaguzi aende kuchunguza hali ya upatikanaji wa dawa kwenye zahanati na kituo cha afya cha mjini Gairo, mkoani Morogoro.Kauli hiyo aliitoa jana wakati...
View ArticleCUF Ya Maalim Seif Yazindua Ofisi Magomeni Jijini Dar Es Salaam
IKIWA ni takribani miezi 10 sasa kwa Chama cha Wananchi (CUF), upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kuvamiwa katika Ofisi Kuu za Buguruni na kundi la Profesa Ibrahim Lipumba chama hicho...
View ArticleMDEE, BULAYA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE HADI BUNGE LIJALO LA BAJETI MWAKA...
Halima Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19.Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha...
View ArticleTPDC YAIBUKA MSHINDI WA TUZO YA BANDA BORA SEKTA YA NISHATI NA MAZINGIRA
Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe kushoto akimkabidhi Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino Kasale tuzo ya mshindi wa banda bora la sekta ya...
View ArticleHATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shda la maua kwenye Mnara wa kumbukumbu ya ajali ya ndege ya kivita iliyotokea mwaka 1978 kwenye Msitu wa Muhunda...
View Article