YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akijibu miongozo mbalimbali ya wabunge mara baada ya kumaliza kipindi cha Maswali ya Kawaida katika kikao cha 39 cha...
View ArticleSPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA AWAASA MADIWANI WANAWAKE WA JIJI LA DAR KUJITAMBUA...
Spika Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Anne Makinda akiwahamasisha Madiwani wanawake wa Jiji la Dar es Salaam walioudhuria mafunzo  ya uongozi, jinsia na bajeti yenye...
View ArticleBendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti
Kufuatia kifo cha mmoja wa Waasisi wa CHADEMA, Mzee Philemon Ndesamburo Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dkt. Vincent Mashinji, ametoa maelekezo kwa watendaji nchi nzima...
View ArticleDiwani wa Chadema Arusha ajiuzulu
Diwani wa Chadema, kata ya Bangata wilayani Arumeru (Arusha) Emmanuel Mollel amejiuzulu nafasi yake ikiwa ni siku chache baada ya kutuhumiwa na uongozi wa chama hicho kwa utovu wa nidhamu.Mkurugenzi wa...
View ArticleBARAZA LA WAZEE JIJINI ARUSHA WAMUOMBA RAIS MAGUFULI AWAKUMBUKE WAZEE AMBAO...
Mwenyekiti wa Baraza la wazee mkoa wa Arusha Mathius Kichao aliyeshika karatasi mkononi,akiwa anazungumza na waandishi wa habari hivi katibuni Jijini hapo.Picha na Vero Ignatus Blog. Katibu wa wazee wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 02, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA MAAFISA WAANDAMIZI, MAKAMANDA WA MIKOA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Balozi wa Morocco
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Abdelilah Benryane wakati alipofika...
View ArticleMnyika atolewa bungeni kwa amri ya Spika
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika ametolewa nje ya Bunge leo Ijumaa kwa agizo la Spika wa Bunge, Job Ndugai.Licha ya adhabu hiyo, amemzuia kutohudhuria vikao vya Bunge kwa siku saba kuanzia leo.Mnyika...
View ArticleUNCDF YAZINDUA MPANGO WA KUNUFAISHA MAJIJI KUPITIA MASOKO YA MITAJI
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akifungua semina ya siku mbili ya fursa mpya ya kuongeza mapato ya halmashauri nchini kwa wakurugenzi wa majiji na manispaa iliyoandaliwa na shirika la maendeleo la...
View ArticlePSPF YAWAPIGA MSASA WASTAAFU WATARAJIWA ZAIDI YA 300 KUTOKA WILAYA ZOTE...
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MwanzaMAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufungua rasmi semina kwa wastaafu watarajiwa iliyoandaliwa na Mfuko wa...
View ArticleBRIGEDIA JENERALI FADHIL OMAR NONDO AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na...
View ArticleKiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada
 Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushotoMwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADAUkubwa wa Kiwanja ni Mita za...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA KWENYE MSIKITI WA AL -...
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sheikh Nurdin Kishik ambaye ni Mhadhiri wa Kimataifa wa Dini ya Kiislaam, (kulia) na ujumbe wake, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Juni  2, 2017. (Picha...
View ArticleMZEE KANYASU KUAGWA KESHO
Marehemu Mzee Francis Maige Kanyasu aliyechora nembo ya taifa la Taifa enzi za uhai wakePata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleTAIFA STARS: MWENDO WA DAKIKA 1,500 KWA SIKU 8
Mshambuliaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbaraka Yussuf Abeid (katikati) ‘anaposepa’ na kijiji yaani kuhama au kuondoka na idadi kubwa ya watu/mabeki waliomzunguka wakiwamo...
View ArticleMASAUNI AZINDUA MPANGO WA KUWASAIDIA WAKIMBIZI NA NCHI ZINAZOHIFADHI...
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na waandishi wa habari baada ya Kuzindua Mpango wa Kuwasaidia Wakimbizi na Nchi zinazohifadhi Wakimbizi (CRRF...
View ArticleMahakama nchini Uganda yatoa amri kufukuliwa kaburi la Ivan
Kaburi la Ivan ndani likuwa na helaZimepita siku tatu toka aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Uganda, Ivan Ssemwanga kuzikwa huku moja ya matukio makubwa katika msiba huo likiwa ni kundi la Rich Gang...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 03, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMWILI WA MCHORAJI WA NEMBO YA TAIFA WAAGWA LEO
Picha ya marehemu Francis Maige Ngosha Kinyasu wakati akiwa Hospitali akipata matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kifo chake. Mzee Kanyasu alifariki Mei 29 katika hospitali ya...
View Article