RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS KABILA WA KONGO, MJUMBE WA RAIS...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimu Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Leonard...
View ArticleTAIFA STARS YAENDELEA KUJINOA NCHINI MISRI
Kipa Said Mohammed Nduda , akichupa kuzuia mpira wakati wa mazoezi yanayosimamiwa na Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, Patrick Mwangata aliyepiga magoti katika mazoezi yanayofanyika Kituo cha michezo cha...
View ArticleWAJUMBE WA BARAZA LAAWAKILISHI WAELIMISHWA KUHUSU HOMA YA INI
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa maelezo kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika mkutano wa kushajihisha wajumbe hao kuhusu kifua kikuu, Ukimwi na homa ya Ini katika Hoteli ya Ocean View...
View ArticlePICHA: MWILI WA MAREHEMU PHILLEMON NDESAMBURO WAAGWA KATIKA VIWANJA VYA...
Viongozi wa juu wa Chadema, Freeman Mbowe na Edward Lowassa wameupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema, Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo baada ya kuwasili katika viwanja vya...
View ArticleKILIMANJARO DIALOGUE ISNTITUTE YAENDESHA MDAHALO WA MAZINGIRA MANISPAA YA ILALA
Afisa Mazingira wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Bi.Esther Masomhe, (kulia), akizungumza jambo wakati wa mazungumzo ya meza ya duara kuhusu mazingira kwenye Manispaa ya Ilala jijini Dar es...
View ArticleUNESCO YATAKA WANANCHI KUENZI URITHI WA DUNIA KWA KUTEMBELEA
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi. Irina Bokova, katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, leo ametaka wananchi mbalimbali kutenga muda binafsi na kutembelea moja ya maeneo ambayo ni urithi wa dunia...
View ArticleMbowe afunguka kuhusu yeye na Wema Sepetu
Wema na MboweMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema clip ya sauti inayosambaa kwenye mitandao inayomuhusisha yeye na Wema Sepetu si ya kwake na hajawahi kuwa...
View ArticlePROF TIBAIJUKA AONYA UPOTOSHAJI WA MITANDAONI NA KUTOA UFAFANUZI KUHUSU...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES MSIBA WA MAREHEMU BALOZI CISCO MTIRO, MAZISHI KUFANYIKA JUMATANO
Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro (pichani) ambaye amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu, anatarajiwa kuzikwa siku ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 06, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMWILI WA HALILA TONGOLANGA WAAGWA
Halila Tongolanga amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mwanamuziki wa siku nyingi na alifahamika kwanza kwa wengi baada ya kuanza kusikika kibao chake cha lugha ya Kimakonde cha...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha...
View ArticleAskari mgambo auawa Kibiti
Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo, wilayani hapa, Erick Mwarabu (37) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku akiwa nyumbani kwake.Watu wa karibu katika eneo hilo wamesema marehemu huyo aliyekuwa askari mgambo...
View ArticleRose Muhando Atiwa Mbaroni mkoani Singida kwa Utapeli
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za injili, Rose Muhando akituhumiwa kujipati fedha kwa njia ya udanganyifu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna...
View ArticlePicha: Timu ya Uingereza yaweka kambi ndani ya Jeshi lake la Ulinzi
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Uingereza wakiwa katika kombati za Jeshi katika kambi yaoTimu ya Uingereza yaweka kambi ndani ya Jeshi lake la UlinziTimu ya Taifa ya Uingereza yaweka kambi katika jeshi...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 06, 2017.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
View ArticleGREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisitiza jambo kwa wadau walioshiriki zoezi la usafi katika fukwe ya bahari ya Hindi eneo la Aga Khan na kuwaomba waendelee na kufanya usafi na hata kuwahamasisha...
View ArticleHALI YA MTOTO BRADLEY LOWERY YABADILIKA GHAFLA
Nilipost habari zake mwezi February juu ya taarifa ya madaktari kueleza kwamba ataishi kwa masaa 24 tu, Lakini miezi minne baadae Lowery ameendelea kuishi na kansa iliyosambaa katika mwili wake.Lowery...
View ArticleWAHASIBU HALMASHAURI MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA KATI WAFUNDISHWA MFUMO WA...
Wahasibu zaidi ya 130 kutoka halmashauri za wilaya za mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kati wamepatiwa mafunzo ya Mfumo wa Kielekroniki kuhusu Usimamizi wa fedha ngazi za msingi zikiwemo zahanati,vituo vya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA SERENGETI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mbuzi Mugumu Serengeti ikiwa sehemu ya kukamilisha ziara...
View Article